Marehemu Jr Steven Richard Kilimbe

Mdogo wetu Jr Steven Richard Kilimbe wa Mwanza 24/06/2010 anatimiza mwaka mmoja tangu atutoke na tunakuomba wewe pamoja na Wapendwa wengine tuungane pamoja kumkumbuka Jr Stephen.

''Bwana alitoa na Bwana alitwaa,
jina lake libarikiwe"

Ni Sisi, David, Doreen, Doris & Daniel- Isamilo Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2010

    Imenisikitisha sana.M/mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2010

    Mwenyenzi Mungu awape faraja familia yote. Mungu wetu ni mwema.
    Mdumu katika imani. Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...