Mkurugenzi wa kundi jipya la muziki wa kizazi kipya lililojiengua kutoka Wanaume halisi na kuwa Wanaume Hassan Umande, (katikati)m akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu uanzishwaji wa kundi hilo lenye wasanii sita.Kulia ni Richard Shauli -Rich 0ne na David Mpangile- DAZ-P. Awali wasanii hawa walikuwa katika kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature. Hivi sasa wameamua kwenda kivyao

kwani akuna majina mengine adi mtumie hilo hilo wanaume ??? Wanaume Hassan Umande, hahhhahah hilo jina gani sasa !!au ndo babu ndivyo alivyo waamuru kupata mafanikio lazima mtumie wanaume??? Njaa ndizo zinazo sumbua kila siku mna jimegua na kujitia mule mule !!
ReplyDeletenyie si ndo mlowapiga madongo tmk dar mpaka morooo ATI mshikeshike ndege tunduni waliobaki wataumia... ndio ikawaje huko mlikoenda kumbe mlienda kuwekwa tunduni sio? kauli mbiu. usitukane mamba hujavuka mto
ReplyDeleteBaba wa taifa Hayati Mwl J.K.Nyerere alisema dhambi ya kutengana ni sawa na kula nyama ya mtu, ukianza hautaacha. walianza wanaume, mara wanaume halisi,na sasa
ReplyDeletekeshokutwa tu utasikia hawa jamaa wamejitenga tena.
Hiyo ni laana ya fella!na bado hao wote pamoja na nature wao watarudi walikotoka!usitukane wakunga bana!yuko wapi huyo nature?haeleweki anachoimba,wenzie mkono juu wanashine!sasa watajichuja na watapatikana tu wa ndege tunduni!'Wao manesi,ss madokta'hapa kazi tu!
ReplyDelete