Kikosi kamili cha kundi jipya la "WANAUME' kilichojiengua toka kundi la WANAUME HALISI
Mkurugenzi wa kundi jipya la muziki wa kizazi kipya lililojiengua kutoka Wanaume halisi na kuwa Wanaume Hassan Umande, (katikati)m akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu uanzishwaji wa kundi hilo lenye wasanii sita.Kulia ni Richard Shauli -Rich 0ne na David Mpangile- DAZ-P. Awali wasanii hawa walikuwa katika kundi la Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature. Hivi sasa wameamua kwenda kivyao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2010

    kwani akuna majina mengine adi mtumie hilo hilo wanaume ??? Wanaume Hassan Umande, hahhhahah hilo jina gani sasa !!au ndo babu ndivyo alivyo waamuru kupata mafanikio lazima mtumie wanaume??? Njaa ndizo zinazo sumbua kila siku mna jimegua na kujitia mule mule !!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 10, 2010

    nyie si ndo mlowapiga madongo tmk dar mpaka morooo ATI mshikeshike ndege tunduni waliobaki wataumia... ndio ikawaje huko mlikoenda kumbe mlienda kuwekwa tunduni sio? kauli mbiu. usitukane mamba hujavuka mto

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 10, 2010

    Baba wa taifa Hayati Mwl J.K.Nyerere alisema dhambi ya kutengana ni sawa na kula nyama ya mtu, ukianza hautaacha. walianza wanaume, mara wanaume halisi,na sasa
    keshokutwa tu utasikia hawa jamaa wamejitenga tena.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 10, 2010

    Hiyo ni laana ya fella!na bado hao wote pamoja na nature wao watarudi walikotoka!usitukane wakunga bana!yuko wapi huyo nature?haeleweki anachoimba,wenzie mkono juu wanashine!sasa watajichuja na watapatikana tu wa ndege tunduni!'Wao manesi,ss madokta'hapa kazi tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...