Ndugu michuzi
Tunaomba uwatangazia wadau wanataka kupata habari mbali mbali za Tawi la CCM Helsinki waingie kwenye web site yetu.
Link hii hapa;
http://tawilaccmhelsinki.blogspot.com/
Tunatanguliza shukrani
Wadau Helsinki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2010

    Hamna cha kufanya cha muhimu kilichowapeleka huko? Shule mmemaliza? Master's, PhD? Kabla sijasahau leo hii ninatuma taarifa kwenye Foreign Affairs Ministry ya Finland kuwa kuna kundi la wa Tanzania linaendesha political operation pamoja na majina yenu na simu zenu. Kwa nini msirudi Tanzania kama mnaipenda sana CCM? Wanafiki wakubwa ninyi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2010

    hongeraaaaaaaaaaaaaaa

    ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    helsinki oyeeeeeeeeeeeeeee

    mdau oulu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2010

    hongera vijana wa Helsinki, sasa tumewasoma

    Kidumu chama cha mapinduzi

    mdau moscow

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2010

    wewe mdau wa kwanza ukumbuke kuandika huo ujumbe kwa kifini sio kizungu!!!

    ReplyDelete
  5. Msemakweli-Ukerewe.June 27, 2010

    Naungana na mdau wa kwanza,kwanini wasirudi bongo kama wanapenda siasa? Jamani watu mpo ulaya matawi ya CCM kama mpo TANDIKA!!!!!!!Hao niwale wasiokuwa na lakufanya. Hapa UK napo washatuchosha na hayo matawi ya CCM yaani unashindwa kutofautisha kama upo tandale au ulaya, Jifunzeni kwa Wenzenu,Mbona hamna Matawi ya Labour Pary, Consevative au Liberal democraty huko Bongo? Au mnafikiri hamna waingereza waishio Tanzania!!!!!!! Ndio maana nchi za wenzetu wanatuzarau Waafrica. Jamani You need to be at the right place in the right time doing the right things. Kilichowapeleka Finland ni Kufungua Matawi ya CCM?.michuzi kaka yangu naomba usinibanie.Thnx.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...