Msanii akitumbuiza

Profesa J alipagawisha

Profesa J akighani mashairi yake ya uchokozi
Profesa J akichengua wanafunzi na mashairi yake
Profesa J avamiwa na wanafunzi

Profesa J akipiga magoti kumshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Mh. William Lukuvi alieruhusu burudani iendelee
Muhidin Maalim Gurumo na Msondo Ngoma walikuwepo
Mpemba Halisi akighani mashairi yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2010

    nyoo misifa mingine bwana, mwenyezi Mungu tu ndo anapaswa kupigiwa magoti wengine sijaona humu duniani lol!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2010

    sasa huyo professor anapiga magoti ya nini kwani walikuwa awana kibali cha ku perform ama !!! ndo kujikomba komba !! dude be professional !!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2010

    kaazi kweli kweli we profesa jay jamani mpaka magoti unamuabudu nani hapo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2010

    aliyetoa na aliyepokea wote wameoza. wewe unaruhusu mtu akupigie magoti si balaa hilo? halafu haya maadhimisho sijui sherehe ni za nini? wauza madawa mnawajua kamateni wekeni jela. hivi china kuna siku kama hii? lakini hakuna biashara kama hii!

    ReplyDelete
  5. I Like MSONDO,MR NGURUMO,I Grew on your Music..I'm happy you are still giving us the real Bongo music,Thanks

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...