Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2010

    Hey!! Hao wachezaji wa bongo mbona kama wamelala, hata hawachangamki, wanaonekana kiwango chao cha uchezaji cha chini sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2010

    Tulipoteza mabilioni ya mapesa bure kwa furaha ya wachache ya dakika 90!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 19, 2010

    Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah

    eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeghhhhh

    Braziiil Brazil.

    Hakuna cha Jabulani wala nini ni uzembe wa golikipa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 19, 2010

    Hivi huyo kipa wa Bongo ni kipa au ushuzi tuu umekaa golini

    ReplyDelete
  5. Aibu tupu!.....hebu iondoe hiyo video bana Michuzi,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 19, 2010

    Hata ukimbiaji wao sio wa kichezaji kabisaaaa! Tz tuna safari ndefu sana katika nyanja zote.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 19, 2010

    Hii Nchi nakwambia imelogwa hii, sijui inaugonjwa gani kila aina ya jambo zuri si ni wa mwisho, michezo mwisho, uchumi mwisho, ila kwenye uovu ni wa mwanzo, angalia ufisadi namba 1, ujambzi namba 1, ujinga namba 1, omba omba namba 1. kazi ipo! Mhm letu jicho tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 19, 2010

    ...aaagh! jabulani wapi bwana! mbona world cup magoli ni machache? Argentina na Ujerumani peke yao ndio wamefunga mabao manne...na ukiangalia defence yaa timu husika ilikua mbovu, huyo kipa hafai hata burree!

    ReplyDelete
  9. Fabiano fanJune 19, 2010

    hawa jamaa acha tu washinde woldi kapu wako siriasi kichizi they mean biznez! umemchekicheki Fabiano kwenye woldi kapu, yuko siriasi akikosa goli anatamani kulia, kwi kwi kwi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...