Home
Unlabelled
libeneke la jabulani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey!! Hao wachezaji wa bongo mbona kama wamelala, hata hawachangamki, wanaonekana kiwango chao cha uchezaji cha chini sana
ReplyDeleteTulipoteza mabilioni ya mapesa bure kwa furaha ya wachache ya dakika 90!
ReplyDeleteGoaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
ReplyDeleteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeghhhhh
Braziiil Brazil.
Hakuna cha Jabulani wala nini ni uzembe wa golikipa.
Hivi huyo kipa wa Bongo ni kipa au ushuzi tuu umekaa golini
ReplyDeleteAibu tupu!.....hebu iondoe hiyo video bana Michuzi,
ReplyDeleteHata ukimbiaji wao sio wa kichezaji kabisaaaa! Tz tuna safari ndefu sana katika nyanja zote.
ReplyDeleteHii Nchi nakwambia imelogwa hii, sijui inaugonjwa gani kila aina ya jambo zuri si ni wa mwisho, michezo mwisho, uchumi mwisho, ila kwenye uovu ni wa mwanzo, angalia ufisadi namba 1, ujambzi namba 1, ujinga namba 1, omba omba namba 1. kazi ipo! Mhm letu jicho tu.
ReplyDeletemhm
ReplyDelete...aaagh! jabulani wapi bwana! mbona world cup magoli ni machache? Argentina na Ujerumani peke yao ndio wamefunga mabao manne...na ukiangalia defence yaa timu husika ilikua mbovu, huyo kipa hafai hata burree!
ReplyDeletehawa jamaa acha tu washinde woldi kapu wako siriasi kichizi they mean biznez! umemchekicheki Fabiano kwenye woldi kapu, yuko siriasi akikosa goli anatamani kulia, kwi kwi kwi
ReplyDelete