WASHIRIKI WA VODACOM MISS ARUSHA 2010 WAKIPOZI KWA PICHA YA PAMOJA NA WADHAMINI NA WAANDAAJI WA SHINDANO HILO.
WASHIRIKI WA VODACOM MISS ARUSHA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ULIOFANYIKA JANA KATIKA HOTEL YA SNOW CREST ILIYOKO PEMBENI KIDOGO MWA JIJI LA ARUSHA,SHINDANO HILO LINATARAJIWA KUFANYIKA JUNE 5 MWAKA HUU KATIKA HOTEL HIYO HIYO.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...