vijana wakiserebuka wakati wa maandamano
ya siku ya kupiga vita madawa ya kulevya
brass band ya polisi ikiongoza maandamano
sehemu ya maandamano
vijana wakiandamana kwa nyimbo
kwaya ya nazareti ikiandamana
ujumbe mzito
furaha
mabango ya mapambano
muhogo mchungu ndani
kina mama oye!











Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2010

    Maandamano hayana maana yoyote kama hatua kali dhidi ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya hazitachukuliwa. Kusimama majukwaani na kuhubiri tuache tuache wakati waletaji wanazidi kuingiza madawa nchini ni bure. Hivi ni kweli inashindikana kuwawajibisha au tunaoneana aibu!! Hivi haiwezekani kabisa kuwatia mbaroni? Maana haiwezekani kwamba watumiaji hawajui wanakopata. Tuwatumie haohao watumiaji ili watujulishe wapi wanapata. Vyombo husika vya dola kazi kwenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...