waimbaji wa bendi ya twanga pepeta toka shoto ni Charles Baba,Janet,Dogo Rama,Luiza Mbutu na Rogat Katapila wakifanya vitu vyao jukwaani leo wakati wa maadhimisho ya miaka kumi ya Kutwanga na Kupepeta katika viwanja vya lidaz klabu.
wanenguaji wa twanga pepeta wakiongozwa na mama lao Aisha Madinda wakionyesha vitu vyao katika maadhimisho ya miaka 10 ya bendi hiyo.
Da' Asha Baraka ambaye ndie mmiliki wa bendi hiyo ya twanga pepeta akiongea machache kwa mashabi wa twanga pepeta waliofika leo katika viwanja vya Lidaz klabu kusherehekea miaka kumi ya bendi hiyo.
mkaanga chips wa siku nyingi katika bendi ya twanga pepeta,Abou Semhando a.k.a Baba Diana akiwajibika
MCD na tumba zake kama kawa.
Super Nyamwela (kati) akiongoza safu ya ushanbuliaji ya wanogesha music wa bendi ya twanga pepeta.
Mwanamuziki wa nyimbo za asili toka nchini Kenya,Thomas Nyadungo nae alikuwepo katika maadhimisho ya miaka 10 ya bendi ya twanga pepeta.
The heavyweight MC a.k.a Prof Jay akiwapagawisha mashabiki waliofika katika viwanja vya lidaz klabu kusherehekea maadhimisho ya miaka 10 ya bendi ya twanga pepeta.
mzee wa Shikide,Dully Sykes akifanya vitu vyake
watu kibao walifika lidaz leo kushuhudia maadhimisho ya miaka 10 ya bendi ya twanga pepeta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2010

    Dada Asha mimi nawakumbuka wale MK Group zama zile wakiwa wanapiga gorofa ya saba New africa wakati Msilu Baraka ndiye mwenye bendi...jee twanga wanaweza kuzikumbuka zile za zamani?...mimi naimba nasikitika ooo...tupige magoti tumuombe Mumngu baabaa...atuondolee ugonjwa huu...ukimwi ugonjwa usio na tiibaa...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2010

    Heavy weight,hiyo suti du?
    Mdau Mbije,A

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 28, 2010

    heavy weight hiyo suti ya nani ?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2010

    HEAVY WEIGHT HIZO SUTI NI MNYAMA GANI !!NAONA KAMA NI NGOZI ! TEH TEH TEH

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2010

    Dully jamani! Hio suruali ndio nini hivyo? Mbona hayo mambo ya watoto na sio ma-super star kama wewe?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2010

    duh mbona imekuwa kama kichfuchefu Prof J na ujanja wote hiyo suti gani sasa, huyo Dully ndio kabisa mchafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu yani picha tu anaonyesha vumbi mpaka kwenye kope jamani kwani kuvaa vizuri ni dhambi au...na wewe Da Asha mtu mzima ovyooooooooooooooooooooo viwiko ka ngozi ya tak...au kwapa kujichubua na utu uzima huo unatafuta nini kuchukuliana mabwana na wanao au....yaani mnatia kichefuchefu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...