Home
Unlabelled
mashindano ya kuogelea ya vijana yafana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tuwaone basi hawa kwenye Olimpic..Sisi wengine vipaji tunavyo lakini uwezo wa kuogelea kwenye swimming pool tulikua hatuna. Tukiwa wadogo tiliogelea na kudive kwenye mto Meru tu . Tukijaliwa kwenda kwenye pool ilikua ni New Arusha hotel kwanza kuangalia watoto wa wadosi wakiogelea tu.
ReplyDeleteNyie mwenye bahati ya kutumia hizi facilities pigeni buti sana mtafika...
Wanangu hapa nilipo ninawapeleka na kuwasupport kwenye kila michezo wanayoonyesha interest. Tukiwa wadogo wazazi wetu walikua wanatwambia somaaa achana na soccer itakupeleka wapi? Lakini ulimwengu wa leo ukiwa very good in anything utafanikiwa tu...
Hongera kwa kuanzisha hayo mashindano lakini ningewashauri wareach hata under privilege kids. Nao pia wanavipaji sana tu lakini mahali pa kishine vipaji vyao hawana...
Ka michuzi eeeee!
ReplyDeletenauliza wabongo wanaogopa maji?
mbona katika hawa washindanaji asilimia 98% ni wazungu na makumbaro?
tehetehetehete!
Wabongo hawaogopi maji ila uwezo wa kwenda kwenye hizo sehemu au kusoma kwenye shule zenye facilities kama hizo hawana. Unajua hao ndio wanaoishi bongo wengine wote wanasindikiza tu. Hapo juu kasema kweli watu wengi wanavyo vipaji ila pa kufanya hayo mashindano au mazoezi hawana.
ReplyDeletemdau wa kwanza umenikumbusha mbali acha tuu enzi hizo tuliogelea sana mto themi ulikuwa na maji mengiii kabla waosha magari na wachimba mchanga kuvamia yani ilikuwa raha kweli new arusha kweli ilikuwa ya wadosi na wanafunzi wa arusha school kiukweli watoto wengi vipaji wanavyo sema tuu umaskini huu nao ndio vinaishia gizani kina serena william wangezaliwa bongo wasingekuwa hapo walipo.
ReplyDeleteMdau wa kwanza UMENIKUNA. Umenifurahisha sana mana nimekumbuka mambo ya kuongelea kule mto Nduruma. Mwe. Haya we, unayosema ni kweli sana, yaani hata hiyo swimming pool utaionea wapi? Na waliokuwa na uwezo wa kwenda huko kweli ni watoto wa kihindi, Arusha school na St. Constantine, sie wa ENABOISHU tulibaki kuwashangaa tu. Hebu cheki hata hizo picha hapo juu, hakuna watoto wa Kayumba Primary. Ukweli vipaji vipo ila facilities hakuna. Nagira - A Tawn.
ReplyDelete