Maulid Baraka wa Kitenge akiwa karibu na moja ya viwanja vya aina yake katika fainali hizi za kombe la Dunia. Na hapa ndipo utakapopigwa pambano la Brazil na Ureno ambapo yeye na Gerald Hando watashuhudia laivu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    hahahahaaaaa haya kaka KITENGE wadau wa blogu ya jamii waliponda sana pale ulipovaa "open shoes"wanasema south africa sasa hivi kuna baridi wewe utavaaje hivyo.haya sasa hii picha umetuvalia viatu sasa tuone wachangiaji watasemaje.
    Mdau -Ukerewe!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    eeh bwana eeh namba tisa mgongoni umetoka sana na "Tommy H" yako ,unaonekana kama yule super star wa kile kipindi cha "the Jefferson" enzi zile Lol.Wanawake wako wanakutunza kweli ndo raha ya kuendeleza mila za kiafrika sio kama hawa wengine wanaopapatikia uzungu Lol

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2010

    Mdogo wangu KITENGE, nguo alizotengeneza "TOMMY HILFIGER" si za kuvaa tena hasa watu weusi. Alisema kama angejua kuwa watu weusi nao wanavaa nguo alizo-Design yeye, basi asingezi-tengeneza kuwa nzuri kama zilivyo. Kwako wewe na watu wengine weusi kuvaa ni kumpatafu (Support) ili andelee kuwa tajili zaidi na kutukana zaidi.

    Mdau Ottawa, Canada.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    so what ?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2010

    Vipi Maulid, umeenda na wakezo wote? au umewaacha bongo. Nani first lady kati yao maana najua ofa hiyo ina couple.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 25, 2010

    he! Kitenge na ankal, kumbe hata hapo MABATI yapo bado kama lineshino la taifa letu? ha hahaaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 25, 2010

    What's this all about? Maulid, hivi kweli unaona freshi tu kuleta taarifa kama hii? I thought you were better than that dude. Anyway, all the best!

    Mdau wa Canada & USA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 25, 2010

    Maoni ya wadau yamefanya kazi jana makobasi leo full ndaba - big up Maulid wa KT

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 25, 2010

    MBONA NASI TUPO HUKU LAKINI HATUJIONYESHI KITENGE VIPI BWANA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 25, 2010

    kweli taratibu hazikufuatwa!!!asa hawa jamaa ndo wameshinda bahati nasibu ya kuona hiyo game au??!!!!km wamewapeleka inakuwaje anaewapeleka nae hakujui kafika anaanza kuuza sura km hv!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 25, 2010

    Kazi kweli kweli,Hiki kizazi cha sasa full kuuza sura na kujiona wajanja. Mbona mkipanda(Dar express) kwenda rombo hamtuonyeshi picha zenu. ila mkienda nchi za watu ndio full ma-picha. Ushamba huu ;kila mtu anauwezo wakujipanda na passport kwenda popote. Hii haitusaidi picha hayana msaada kwenye kujenga Taifa.
    Yaani watu kuuza sura kwenye blog wanona deal na kujiona wajanja;eti watoto wa mjini. Fanyeni kazi za maana na picha iwe sehemu muhimu unapiga kivyako kama ukumbusho.SIO Kutujazia habari zisozo na kichwa wala miguu hapa

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 25, 2010

    Michuzi kwa umri wako kwenye fani na umri wako wa maisha its high time sasa uwe na habari za kujenga> Hili ni wazo tu! Haya mambo ya kuuza sura za watu yamekaa kitoto hivi na hasa pale inapokuwa kama unafagilia watu fulani...kama kibaraka hivi

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 25, 2010

    mdau wa ottawa umenikumbusha mbali teh teh teh nakumbuka kweli tommy h kasema hivo afu wa jamaica waishio toronto wamenunua nguo zake zote afu wakazipigisha deki barabara nzima livooona hivo a apolojaizi mwehu yule mzee.

    mdau kigali makazi boksini kusaka chake

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 25, 2010

    mdau wa 12:15 asante.ujumbe umefika safi sana jamaa hata mimi nawashangaa kupenda kuuza sura tu.kaazi kweli kweli lol.
    mdau-Ukerewe!!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 25, 2010

    Kazi kweli kweli ungekuwa kama Koinange kaka naona pangekuwa hapatoshi elimu yenyewe std 7 shukuru mengi huwa anapokea fake certificate bro lau ngekuwa nje saa hizi

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 25, 2010

    kama hujioneshi hata kama uko huku kimpango wako,so kwa kuwa we hujioneshi yeye afanye kama wewe,huo wote wivu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 25, 2010

    Anony fri jun 25,12:15 pm umenifurahisha wewe kwanza jamaa ticket zenyewe za promotion anapiga kelele tuwekee basi mpaka unapo lala dezo kwenye hotel kaka kaka

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 25, 2010

    Mzee wa Tonge

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 25, 2010

    Hivi na nyie mnaoponda nyie kweli akili zenu ziko vizuri? Na wewe unayesema habari zisizo na kichwa wala miguu, kuna habari yenye kichwa na miguu? kama hipo basi Maulid ana kichwa na miguu na ndio maana kakupa Habari ndio hiyo...acheni wivu, mmekalia box na mavumbi yenu tu kuponda watu...kula ale mwingine kushiba ushibe wewe, mxiiiiiiii...kwendeni zenu huko.

    Mwanangu Maulid endeleza Libeneke kama kabati mwana, haina kuremba...cheki zako boli alafu rudi tujenge Taifa, unastahili likizo kama hiyo...sio mijitu haina hata sentitano kazi kushinda kwenye internet cafe kudandia dakika za mwisho za watu wenye hela walioziacha alafu wanatuma mitusi, pumbaffffff, mxiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 25, 2010

    wewe anonymous Fri Jun 25, 12:15:00 PM, acha roho mbaya yako.....wangapi walishweka picha zao hapa mpaka wengine snow ikinyesha tu mnatuwekea..
    wa kitenge big up ....
    nawe kama vipi tuwekee picha ukiwa mzigoni(ukipiga box)...
    mdau ilala

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 25, 2010

    kweli bwana kazi kuuza sura , naungana mkono na mchangiaji hapo juu kwamba mkienda kwenu kijijini mbona hamtuonyeshi , mithupu tuletee habari za maana , hatutaki hao wauza nyago....

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 25, 2010

    Wadau punguzeni munkhari hata kama boxi halikwenda vizuri.

    Mdau Baraka anatuletea taswira ktk blogu ya jamii nyie kazi kukandia, au mmezoea taswira za BBC, CNN, NBC, CBC, Reuters, Tanzania Broadcasting Corp(TBC)n.k.

    Hapo mbali ya Baraka naona mandhari ya nje ya wanja hilo la jijini Durban linavyowaka, tutumie twasira zaidi Baraka Wa Kitenge.

    Twasira za blogu ya jamii hoyeee!

    Mdau
    Jijini London.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 25, 2010

    waosha vinywa kweli hamkosi la kusema

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 25, 2010

    Whether Tommy Hilfiger is a racist or not, I do not know. But the statement inferred apparently occurred when Hilfiger "appeared" on Oprah's show. If I remember right Oprah issued a statement that the event never occurred and she had not even ever met Tommy Hilfiger.This is an internet rumour just being spread by the likes of mdau @june25.06:19:00
    You have proof, lets have it, but dont say you just heard about it or you just read it on line
    Thou shall not bear false witness against thy neighbour
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 25, 2010

    WATU WANA JAZBA NA CHUKI ZISIZOKUWA NA MSINGI HATA KIDOGO! NDIO UGUMU WA MAISHA AU! KAMA HAMPENDI SI MFUNGE MIDOMO, MTULIE NA KUENDELEA KU-BROWSE MAMBO MENGINE HUMU!

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 25, 2010

    Wadau hii ni blog ya jamii na kila mtu anaruhusiwa km sikosei kutuma lake sasa nn oooh et anauza sura ninyi vp kila mtu ana haki ya kufanya awezalo ilmuradi asimzuru mwenziwe wewe umezurika nn na Kitenge kutuma taswira humu, tuweni makini jamani sio jeolus mble.
    BIG UP KITENGE.
    MDAU OSMANIA

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 25, 2010

    Kitenge usisahau kupitia kwa Zuma na kwa king Mswati wakakupe darasa zaidi, wake wawili hawatoshi kabisa!!!

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 25, 2010

    HUYO ANAYESEMA TOMMY HILFIGER ALISEMA NGUO ZAKE HAPENDI KUVALIWA NA WATU WEUSI NAOMBA ATUONYESHE USHAHIDI WA HAYO ANAYOYASEMA. HIYO KITU NI INTERNET HOAX. KAMA ANGEKUWA AMESEMA HIVYO KWENYE OPRAH LAZIMA INGEKUWA KWENYE LIKES OF YOUTUBE.
    TUACHE KUSEMASEMA MAMBO TUSIYOKUWA NA UHAKIKA NAYO JAMANI. HUYO JAMAA NI MFANYABIASHARA NA SIDHANI KAMA KUNA MFANYABIASHARA ANATAKA FUKUZA WATEJA NAMNA HIYO.

    Mzozaji

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 25, 2010

    Hiyo issue ya Tommy Hilfiger ni uwongo kabisa. Ona hapa http://www.youtube.com/watch?v=Nsp_XargGPQ

    ReplyDelete
  30. msemakweliJune 25, 2010

    sisi tupo south siku 10 kabla mashindano hayajaanza nahatunashida yakujitundika kwenye mablog yawatu,hawa wamekuja juzi tena kwakupewa ufadhili na kampuni lakini, picha zao utaziona kila blog,acheni ushamba nyie.kaka michuzi kama kawaida yako najua hutatoa maoni yangu lakini nauhakika utakuwa umesoma comment yangu hinyo ujumbe utawafikishia hawa wauza sura.Nawakilisha.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 25, 2010

    Ndio maana watanzania hatushindi jambo lolote tukienda nchi za watu...huu ni mfano tu...wenzako wanatafuta habari nyie mmekalia kutalii na kupiga picha kila mahala...find the news man!!

    Tulielezwa kwa kishindo waatangazaji wa redio hii na ile wameenda huko.....sasa nyie mlitumwa kutalii au kufanya kazi...???? Kama mlijipeleka kwa hela zenu kutalii basi msingejitangaza huku au kuweka mapicha yenu huku...grow up guys autafuteni face book fans...Tatizo la watanzania ni ushamba fulani tulio nao wa show off...

    Wangekua ni wachezaji wetu nao wangefanya hivyo hivyo badala ya kuwajibika na kujua kilichowapeleka wao wanakalia kushop na kutaliii...

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 25, 2010

    nyinyi wadau wa majuu mna roho ya kwa nini sana kipindi masnow yamwajika watu kibao walikuwa wanauza sura eti angalia ice cream ya huku sijui ya wapi huko cha mtoto kila siku mlikuwa mnatuma mipicha yenu kujisheua ili tuwaone mko majuu na kuna snow sasa maulidi kaenda kwenye world cup iwe ticket ya dezo ya kupewa lakini amekwenda nyie mtaangalia luningani tuu yeye atakaa na wapuliza mavuvuzela endeleeni kupiga mavuvuzela yenu maana hayalipiwi kodi aka VAT!!

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 26, 2010

    bwana maulidi umetumwa ufanye kazi na sio kuuza sura, hebu fanya kazi ya maana basi na iliyokupeleka huko...sisi tunakujua kwa kazi fulani na sio kuuza sura!

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 26, 2010

    jamani acheni wivu ni rikizo hiyo tuwekee picha tu. mbona ankal anatuwekea picha akiwa mbeya, tukuyu, mwanza,german, doha na n.k.............................na hamsemi kitu acheni wivu jamani.mdau texas

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 26, 2010

    Kazi kweli kweli ungekuwa kama Koinange kaka naona pangekuwa hapatoshi elimu yenyewe std 7 shukuru mengi huwa anapokea fake certificate bro lau ngekuwa nje saa hizi

    WACHA WIVU WA KIJINGA WEWE MPUUZI KWANI ELIMU YA MTU INATANGAZWA? KWA TAARIFA YAKO ELIMU SI LAZIMA KILA HATUA UITANGAZE KAMA WEWE UNATANGAZA BASI POLE KWA USHAURI TU KAMA WEWE UMEISHIA STD VII PLEASE NAFASI UNAYO JIENDELEZE HUU NI MTAZAMO WANGU TU MDAU TOKA MLALAKUWA

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 27, 2010

    Maulidi wa Kitenge big up. Enjoy your time there. Nyinyi wenye wivu, huo wivu wenu utawamaliza. pili, si kweli kuwa Tommy alisema eti nguo zake hazivaliwi na weusi. Huo uvumi ulipomfikia Oprah aliukanausha katakata "on air" na kusema "it' sad that there's so much malicious mail on the internet. Tommy has always been a supporter of the civil rights movement in USA". Kisha niwaulize nyinyi haters: mbona watu wengi wanatoa picha zao hapa za birthdays, arusi, kipaimara, ubatizo, n.k. hawatukanwi. Au kuna category fulani ya watu ambao hawapendwi na baadhi ya watu kutokana na majina yao?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...