Mazishi ya Yusuf Ahmed Alley a.k.a Bwan'Chuchu leo Zenji ambapo umati mkubwa wa ndugu, jamaa na marafiki walijitokeza kumzika gwiji huyu wa muziki visiwani
Kaburini kwa Bwan'Chuchu

Dada yake Bwan'Chuchu akiongea wakati wa mazishi
Mjomba wa marehemu akiongea wakati wa mazishi

Kinamama walijitokeza kwa wingi kuomboleza msimba wa Ban'Chuchu
Vijana walikuwepo kwa wingi msibani







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2010

    INNA LILAHI WAINA ILAHI RAJIOON

    ReplyDelete
  2. mohamed DARWEISH na kikundi chake BOY DARWEISH SOUND MUSIC (paris) wanatowa mkono wa pole kwa msanii mwenzake marehemu YUSSUF AHMED ALLEY (CHUCHU)huko KIJIWE .
    inshllah mungu ailaze roho yake pahali pema peponi(ameen).
    kalu inna lillahi wainna ilaihi rajioonn.!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...