Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanaume, Taifa Stars, imekung'utwa goli moja na timu ya Taifa ya Rwanda, Amavubi. Kwa maelezo hayo basi, Taifa Stars wameyaaga mashindano hayo ya kuwania kombe la mpira wa Miguu kwa nchi za Africa (African Nations Championship - CHAN).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2010

    tumeshachoka kusikia ufundo huu wa taifa starz.chonde chonde msituumizie wabrazili,wengine ndo timu yetu hiyo ya kombe la dunia.
    aka ,sitaki kufa bila.kwani uzalendo ni lazima?si hiyari? sasa je.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2010

    Taifa Stars Hopeless kabisa!!!!,kichwa cha mwendawazimu!!Bongo sokaaaaaaaa hopeless labda aje Yesu kwa mara ya pili!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 07, 2010

    Walikua wanasave nguvu zao kwa kandanda la kesho...No need to worry there is always next time....


    Mtashangaa hapo kesho wakiwafunga Brazil mbili moja

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 07, 2010

    Poleni vijana wa maximo, rudini mbio mje kututeremshia mvua ya magoli kwa brasil msisahau kuweka vikapu vya magoli enhe

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 07, 2010

    Kesho watapigwa 3-0 na wacheza Samba.

    Brazil wameamriwa na kocha wasizidishe sana mabao ili wabongo wasijisikie vibaya kutumia mamilioni na kupigwa mabao ya mvua.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 07, 2010

    hiyo ndiyo timu yetu. imejengwa kwa mori, kasi, ari na nguvu. kudadek!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 07, 2010

    Ankali mimi na swali la kizushi jee hawa TFF hawajaona timu yoyote ya kuileta isipokuwa Brazil
    Ikiwa Rwanda tuu mambo ndio hivyo jee Brazil itakuwaje ?
    Bora wangeileta timu ya India pakistani au Saudi Arabia
    manake watafanya hata huu mchezo tuuchukie

    ReplyDelete
  8. Nliwaambia bila Kaseja hakuna kitu timu ye taifa. Upuuzi mtupu. Hakyamungu tushajichagulia matimu ya kushangilia kweni wedi kaap. Bongo pulesha tupu, kudadeeki.kuanzia leo sisomi tena au kuangalia niuzi zinazoihusu taifa staaz.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 07, 2010

    Mpira wa kesho - Brazil vs. Taifa Stars, hautakuwa na hamasa kwa sababu utakuwa too much one-sided kuhusiana na ball possession. Nahisi mpira utakuwa unachezwa upande mmoja tu wa uwanja mpaka watu wataboeka (wata-bore-ka), kwani mpira shurti kupokonyana na kuchezwa uwanja mzima. Keeper wa Brazil atakuwa yupo likizo ya malipo kesho. Magoli hayatakuwa mengi sana kama ilivyokwisha kusemwa, kwani si wamelipwa? (Fair Play ?), halafu hawashindanii kombe ama ubingwa wowote, ni mchezo wa kuuza sura zaidi.

    By the way, nasikia Kamau yupo tayari Dar.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 07, 2010

    Stars 1 Brazil 0 shataaka nyiwe wabeba boxi.

    Kichwa

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 07, 2010

    WEWE UNAJIITA Dayaspora Simba Damu, HUYO KIPA UNAEMUONGELEA SI YULE ALICHABANGWA BAO 5 KULE MISRI?? AU NI KIPA MWINGINE LABDA MIE SI MTALAAM WA MPIRA! NA UPEO WANGU MDOGO ILA NINAWEZA NIKAJUA KUWA KUFUNGWA KWA TIMU SI TATIZO LA KIPA PEKE YAKE.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 07, 2010

    anhaaa sasa leo ndo aibu ya mwaka mtachezeshwa samba uwanjani

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 07, 2010

    cha muhimu kuongea na akina Kaka, Maicon n.k wafunge vigoli viwili au vitatu. vinginevyo mvua itanyesha. kudadekiiiiii. mie nakufaaaa.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 07, 2010

    ha ha haa mdau hapo juu umeniacha hoi ni kweli mjomba kamau keshawasili bongo tangu jana na amefikia namnani sinza

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 07, 2010

    mie naona ili kitu kiwe fair play taifa stars wangeweka makipa wawili kwenye goli lao hapo kidogo itakuwa ahueni azawaizz ni sambamapangala tuu!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 07, 2010

    Ha ha ha ha hahaha haha hhahaha!!!!

    Maoni mazuri sana! Wangeonyesha mechi hii tuone tucheke zaidi

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 07, 2010

    Mighuzi hebu wawekee habari za timu ya Tanzania inayopeperusha bendera yetu kwenye Copacocacola kuna highly rated striker Thomas Ulimwengu aliyekua Uwanja wa Karume pale TFF naskia TFF wamemuuza Yanga kwa milioni15. Soka ya Tanzania inawekezwa sio kama mnavyoropoka kuna kufungwa kwani ni matokeo ya Mpira. China wameifunga France mlisikia hilo? Miaka mitano ijayo mtaiona timu yetu itakavyokua vizuri nina imani hiyo kwani hawa wachezaji wa U17,U19 wananifariji sana,sana

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 07, 2010

    Afadhali tumefungwa maana tungeshinda MAXIMO angepata sababu ya kuongeza mkataba wake wakati ni pumba tupu hana lolote, toka aje hakuna mafanikio yoyote. Timu ingekuwa na Kaseja,athumani idd na Maftah tungeshinda tu. kwa heri MAXIMO nenda kakaange karanga kwenu Brazil.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 07, 2010

    Unasema soka la bongo linawekezwa vipi kwa Copa Cocacola wa mwaka jana mi naona wewe ndo unalopoka, hongera Mkapa kwa kutujengea uwanja unawafanya hawa wanasiasa kuweza kualika mijitimu ya maana inagawa inakuja kutufunga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...