Mbunge wa Ilemela na mmiliki wa vyombo vya habari vya Star TV na Radio Free Africa vya jijini Mwanza, Mh. Anthony Diallo (kati), BW. Deo Rweyunga ambaye ni Mkurugenzi wa Radio One Stereo ya jijini Dar, Bi Andrea Schmidt mkuu wa idhaa ya kiswahili ya Redio Sauti ya Ujerumani (DW) na ankal Aboubakar Liongo wakila pozi leo katika studio za DW jijini Bonn. Mh. Diallo na Bw. Rweyunga wamealikwa na DW katika kongamano la kimataifa la vyombo vya habari linaloandiliwa kila mwaka jijini Bonn.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2010

    Kakangu Liongo, za siku? Pole sana kwa yote!! Naomba namba ya simu ya anko taf.
    Nitumie kwa: ninah85@ymail.com

    Nduguyo.
    Sweden

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2010

    Ankal,je kuna uwezekano wa kuongea nao Mheshimiwa Diallo au Rweyunga?
    Mimi niko Bonn na ningependa kuwasiliana nao.Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2010

    Ankal Abu naona mambo yako si mabaya uko na mbunge wetu mbona mshikaji wako yule dada mkenya mwasaya simuoni ankal

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...