Mkongwe wa spoti redio ya Sauti ya Ujerumani DW Ramadhani Ali akikabidhiwa ua na mkuu wa idhaa ya kiswahili wa redio hiyo Mama Andreas Schmidt kwa kutimiza miaka 40 mzigoni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2010

    Kumbe ile sauti DW nayoisikia ya Ramadhan Ali ndiye huyu? Nimefurahi kumwona. Asante kwa taswira. Hongera bwana Ramadhan Ali kwa taarifa motomoto tunazozipata kupitia Sauti ya Ujerumani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2010

    ua tu?????????????????????????

    au kilikuwepo kibahasha au tuzo!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2010

    Ooooh! nimefurahi sana kumfahamu kwa sura Ramadhan Ally!! Yani namkubali sana kwa kazi yake, anaijua na anafurahisha katika utangazaji na anaposoma taarifa huwa ina inafurahisha sana!
    Vp, lini tutamwona Umri Kheri, Ahmed Mohamed, Othman Milaji na wengine wengi??
    Well Done DW!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2010

    Hata kibahasha ua kwa wazungu wabongo uwezeshaji kwanza maua not necessary!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...