Home
Unlabelled
Miss Eastern Zone kufanyika Lindi kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani, Bongo kwa urembo huu sijui kama tutajashinda taji
ReplyDeleteDuh! Bradha.
ReplyDeleteHuyo wa kwanza kushoto ee bwana ana midomo mizuri!
Daah! Hiyo ndo midomo yangu mimi hiyo kaka. Duuh!
Jamani, wanaowasaidia hawa wasichana, wafundisheni kupaka wanja vizuri (make-up kwa ujumla). Kama hao wawili wa kwanza, hiyo ni sababu tosha ya kuwapunguzia points. Ni maoni ya msaada tu.
ReplyDeletemmmh!! uhuuwiiii!! ahahaaa!! midomo ya huyo wa mbele inanimaliza kabisa.npe namba yake plizzz..!!
ReplyDeleteAKAL, NAOMBA UTUSAIDIE KUWAULIZA HAO WAKUBWA HUKO SERIKALINI HASA WIZARA YA ARDHI,SISI NI WAKAZI WA MAKAZI MAPYA YA KISOTA HUKO KIGAMBONI TUNAMILIKI VIWANJA VYA SERIKALI KWA AJILI YA MAKAZI BORA NATUMEFANYA HIYVO LAKINI SERIKALI INAWAACHIA WATU WANAHARIBU MAENEO HAYO KWA KUCHIMBA MAWE NA SASA NI MASHIMO MATUPU TUNAOMBA SERIKALI KITENGO CHA WIZARA YA ARDHI ISHUGHULIKIE KIKAMILIFU KUZUIA UHARIBIFU HUO HARAKA SANA LA SIVYO MIUNDO MBINU ITAKUWA KAZA SANA KUIENDELEZA NAOMBA WAHUSIKA MFANYIE KAZI HAYO, ASANTE WAKAZI WA KISOTA KIGAMBONI
ReplyDeleteankal hivi kwenye haya mashindano hamnaga maswala ya umri...mbona hawa dada wengine wanaonekana wakubwa sana au ni side effect ya vile vitu vyetu vya shangai (china) ni hayo tu.
ReplyDeleteYaani hamna lingine la faida kwa nchi?
ReplyDeleteTieni nguvu zenu katika Kilimo Kwanza!
Warembo wetu kwa kujichubua duh!!! Hii ni babu kubwa..Halafu hizi High pixels na HD camera za siku hizi wala hazidanganyi. Zinaona mpaka subcutaneous tissue.
ReplyDeleteHivi huko kwenye maurembo yao wanapewa lecture la madhara ya kutumia haya maurembo na kuwashauri kuwa Natural? Wenye kuzitengereza hizi make-ups wenyewe siku hizi wana Make-up free Mondays
SHOW YOUR NATURAL BEAUTY
nilitegemea kwamba kwenye mashindano ya urembo kigezo ni kuwa mrembo
ReplyDeleteShule jamani shule! Mbona sasa wa miss imekua biashara? Hawa vijana wanakumbuka shule kweli?????
ReplyDeleteDOES ANYBODY CARE ABOUT EDUCATION ANYMORE? IS BEING A BEAUTY QUEEN REPLACED THE DREAM OF BECOMING A DOCTOR OR LAWYER?
ReplyDeleteAND THEN WHAT HAPPENS TO YOUR UNEDUCATED SELF AFTER YOU GET OLD AND YOUR RICH HUSBAND FINDS HIMSELF A NEW BEAUTY QUEEN-A YOUNG ONE?
THIS SHOULDN'T BE A CAREER CHOICE FOR A YOUNG AFRICAN GIRL; A HOBBY YES BUT NOT SOMETHING YOU ASPIRE TO BE.
NA KWANINI HAWA WATOTO WANAJICHUBUA HIVI? HOW ARE YOU GOING TO BE A REPRESENTATIVE OF YOUR COUNTRY OR CONTINENT WHEN YOU CANNOT EVEN BE PROUD OF YOUR SKIN COLOR?