Mmoja wa washirkji wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 Shaymaa Edward Mtetema akipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika Hoteli ya Raj Kijitonyama , Dar es Salaam jana.
Washiriki tisa wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 wakifanya mazoezi katika ukumbi wa Hoteli ya Raj, Kijitonyama, Dar es Salaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 12 mwaka huu mjini Kibaha mkoani Pwani.
Baadhi ya washiriki wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Pwani 2010 wakifanya wazoezi katika ukumbi wa Hoteli ya Raj, Kijitonyama, Dar es Salaam jana. Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Juni 12 mwaka huu mjini Kibaha mkoani Pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2010

    naona wazee tuu apo

    ReplyDelete
  2. jaman hao mamic huwa wanajaribu sehem tofaut tofaut kama huyo anaeitwa ZED amejarbu tabata mara kbao akikosa picha ya juu ni wa pili kutoka nyuma,ya pil toka juu anaonekana wa tatu toka mbele afu picha ya mwisho anaonekana kushoto kanyoosha cjui saa juu namfaham had kwao huyo miss

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2010

    mimi yote tisa comment yangu sioni pa kuiweka.

    OT ninaomba tu kama weewe mpiga picha na unaenda majuu kila siku basi muwekeze kaika mazoom kama ya paparazi wa brazili. kama hamna hata mmoja mwenye nalo hilo basi tu jitahidi sana tucatch up na kuw na picha nzuri zenye quality na pia sio lazima kukaa karibu.

    jana nimeona hiyo picha lakini nilikua sina muda wa kuandika

    Watakaoenda world cup na vikamera vyetu tutaweza kuzoom vizuri kweli? najua two days before haitamake any difference lakini mkirudi basi viallowance vyenu mkusanye mnunue kama kazi haziwezi kuwanunulia.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2010

    jamabo lingine nimesahau ila hii sio uposti nakuulizia hivi wewe si una photo studio? una print picha right? mimi nimechoka kupoteza picha posta...unaonaje kama ukiweka hata link ya siye tulio nje ya nchi tujue biashara yako tuwe tuna upload picha na kulipia huku huku halafu ndugu zetu waje wachukue hapo...huku kuship picha nyingi ni ghali na bado hazifiki huko zinazotakiwa kufika. bibi na mama hawana intenet hawawezi kuona picha online lazima niwatumie hard copy kila mara waone wajukuu na vitukuu vyao wanavyokua lakini inaudhi sana ukiambiwa picha hazijafika....Najua unafahamu paypala and may be you have it fanya hivyo utapata soko sana...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...