Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB Bibi Sipho S. Moyo, wakati Bibi Moyo alipokwenda kumuaga Makamu wa Rais Nyumbani kwake Oysterbay Dar es salaam leo baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ADB Bibi Sipho S. Moyo, wakati Bibi Moyo alipokwenda kumuaga Makamu wa Rais Nyumbani kwake Oysterbay Dar es salaam leo, baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.
(picha na Amour Nassor /VPO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 09, 2010

    Nyumba ya Muheshimiwa makamu wa Rais kwa kweli ni nzuri sana, ila nadhani wale watu wanaojihusisha na utengenezaji wa muonekano wa nyumba kwa ndani (interior designers na decorators) wangeweza kujitahidi zaidi, kwani huyo nyumba iko typical of ki-commoner zaidi kuliko ya kiheshimiwa, tena Muheshimiwa mkubwa kama Makamu wa Rais.

    Tunatumai watu wa 'landscaping' walijitahidi kwa huko nje kuhusiana na masuala ya muonekano wa nje, yaani garden, pavements na nini.

    Hata kama sina nyumba kama hiyo bado sizuiliwi kutoa maoni ama mtazamo wangu.

    ... Masuala ya kubenjua miwani watu waongeapo na 'wakubwa' kumbe bado hayajaisha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...