Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma unawakaribisha Watanzania wote muishio Roma na Italia kwa ujumla kwenye mkutano wa jumuiya utakaofanyika siku ya tarehe 26 Juni 2010 kuanzia saa kumi kamili jioni mpaka saa moja kamili usiku maeneo ya Termini Station kwenye ukumbi wa SOUTH INDIAN RESTAURANT, kwenye mtaa wa VIA PRINCIPE AMEDEO namba 70 mjini Roma.

Wote Mnaombwa mfike kwa wingi ilituweze kufanikisha malengo ya mkutano wetu. Tunaomba tujitaidi kuwahi.
Kwa maelezo zaidi tutembeleeni hapa:

www.watanzania-roma.blogspot.com
Katibu,
Andrew Chole Mhella

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...