HABARI ANKAL, KUNA DADA MMOJA ANAISHI UKONGA MINAZI MIREFU AMEPOTEZA KADI YAKE YA KUPIGIA KURA MAENEO YA VINGUNGUTI SAHARA ATAKAYEKIPATA APIGE NUMBER 0655779044 KWA BETRIDA, JINA LA MWENYE KITAMBULISHO NI FELISTA SIMON MWAKALOBO, ALIJIANDIKISHA KITUO CHA BWAWANI.
KAZI NJEMA ANKAL
Kadi number ni *32434277*

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...