Home
Unlabelled
mungu mtu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mungu amsamehe.....Lord have mercy on him
ReplyDeleteHow could this be happening?
ReplyDeletePlease pass the following message to this transgressor.
1:Say: He is Allah, the One and Only;
2:Allah, the Eternal, Absolute;
3:He begetteth not, nor is He begotten;
4:And there is none like unto Him.
Peace.
huyu inabidi akutanishwe na nabii tito lol! watani wa jadi wametupiga bao wao wana mpaka mungu kabisaa duuuh!!
ReplyDeleteJAMAA KAVUNJA RECORD YA TITO(NABII WA POMBE).KWELI UKISHANGAA YA MUSA......
ReplyDeleteBaba ake Kamau.
ReplyDeleteDUU , HII KALI YA MWAKA !!!
ReplyDeleteWahaa, hapa si kenya lakini? Sasa ile issue ya kuwa wakenya ni watu wenye akili kuliko wote iko wapi?
ReplyDeleteDuh yaani jamaa amewezaje wezaje kuwafanaya wenzake waamini kuwa yeye ni mungu? jamaa kama ni mungu kashindwaje kujirejeshwa meno? waumini wake na yeye mwenyewe wote wanakufa kwa njaa kwa nini hawapi chakula?
ReplyDeleteMtangazaje yuko sahihi sana kamalizia akisema vipi binadamu akamuamini binadamu mwenzeke kuwa mungu?Swali zuri sana wengi wa tunaemlaumu huyu jamaa hapa hatuwezi kulijibu hili.Mungu hawezi kuwa binadamu,safi sana.wala hafanani na chochote duniani.
ReplyDeleteMungu ni mila na desturi za watu,manabii waliozingatia utamaduni wao walitokewa na mungu,wakafanya miujiza watu wakaamini maneno yao na kupata nyomi ya wafuasi dunia nzima,leo hii msukuma atakwambia ni roman catholics,wewe mtu wa shinyanga kujiita roman wapi na wapi?
ReplyDeleteHuyu jamaa anaabudu na watu wake wa nyumbani arthi moja tamaduni zinazofanana,kama anawapa wafuasi wake matarajio mema,amani na upendo, wapi bora! Desturi za roma,israel au desturi za nyumbani??
DUH! WAKENYA KIBOKO!
ReplyDeleteMI NILIDHANI WANA OBAMA PEKEE YAKE,
KUMBE HATA MUNGU!!!!!
MWISHO WA DUNIA SASA UMEKARIBIA!!WATU WANAANGUKA NA UNGO,NABII TITO NA SASA MUNGU MTU..HUYU MZEE NI MHASHARATI WAKE WENGI HIVYO WA NINI??MBONA MUNGU HANA MKE.YEYE UMUNGU WAKE KAUPATA WAPI?TAPELI HUYU
ReplyDeletewewe mdau wa Sat Jun 05, 02:06:00 PM mbona unajikanyaga mwenyewe? unauliza suali baada ya wewe mwenyewe kuweka jawabu?
ReplyDeleteHuyu jamaa hana hata muujiza mmoja, ameshindwa hata kujirejeshea meno yaliyomtoka, watu wake hawana pesa wala chakula, wanaomba na kufanya kazi katika mashamba ya watu wengine, sasa kwa nini asifanye miujiza yake na kuwapatia watu wake chakula?
mdau wa Sat Jun 05, 01:53:00 PM umesema kweli na kwa upande wangu huwa najiuliza pia inakuwaje mtu anaweza kuwafanya wenzake waamini kuwa yeye ni bora zaidi yao na kuwa mfalme wao? Inakuwaje mtoto mdogo wa miaka 18 awe anaheshimiwa na kupigiwa magoti na mtu makamo au mwenye umri unaomzidi baba wa huyo mtoto?
ReplyDeleteHuyu hanatofauti na Nabii Eliya ambaye ameshafariki sasa lakini miaka ya tisini alikua very popular doing the same thing in Same sema wakati huo kulikua hamna mtandao wakumuonyesha kwa wale wanaomjua alichokua anafanya tofauti aliwatumia wake zake na watoto kufanya miradi ya kilimo na mifugo kwahiyo walikua hawaombi ombi.nafikiri compound yake bado inaendelea pale kisiwani Same nilipataga kibali chakumtembelea mwaka 2000. Huwezi kuamini kunavitu kama hivyo duniani leave alone Tanzania.
ReplyDeleteHawa majirani kila kitu kizuri wanadai chao (strictly Mt. kilimanjaro in this case), sasa hata mungu naye ni wao, duh!!!
ReplyDeleteKwa kabila ya watu wa kwa kijiji hichi mungu = mtawala mwenye anawesa oa wanke wengi na kusaa bila yeye hapana jua ana wachildren wangapi.
ReplyDeletewajuanga kama vile wewe unawesa wasalisha wananke wengi pasi na wewe kulalamika waumwa mgongo basi wantu wanaanza kusema eti ya kuwa wewe wafaa kuwa mungu wao yaani ni kama lile jogoo la mbegu eeeh!
Kwa sababu ya mapengo hapo mbele, I bet huyu bwana ni mjaluo. Sijui kakutwa na nini mpaka akajitangaza kuwa yeye ni mungu. Kutesa tu wasioelimika. Eeh baba mungu tusaidie kuyatambua haya. Kamau your people are letting you down.
ReplyDeletemungu ana mapengo!! lmaooooooooooooooooooooo
ReplyDeletewewe anon. Sat Jun 05, 02:06:00 PM, acha hizo bwana, sio roman catholic, ni catholic.
ReplyDeleteMUNGU: Ni mmoja tu.yeye ndie mwenye kuabudiwa peke yake na c mwingne.Hakuzaa wala hakuzaliwa hana mke wala mtoto,wala hana anaeshirikiana nae. Hafanani na kitu na kiumbe chochote.
ReplyDeleteHUYO JAMAA AKAPIMWE AKILI HAYUKO SAWA.
Astaghafiruulah jamani dunia imekwisha tafadhali michuzi watu kama hawa usiwaweke kwenye glob yako na wewe utapata dhambi kwa hilo kwani huyo anakufuru kwa mwenyeezi mungu na wewe unamuweka huyo hafai hata watu wamuone kwani akukufuru mbaya sana na tunajua karne ya mwisho watakuja wengi wenye kukufuru na kujiita manabii na mungu wa uongo mwenyezi mungu amsamehe amuondoe kwenye moto huo anaoutafuta amin
ReplyDeleteMe ningependa kujua, huyu jamaa ana umri gani?na wazazi wake wako wapi?kama wapo hai, kabla hawajamzaa inamaana wazazi wake hawakuwa na Mungu?kama wamefariki kwanini kashimdwa kuzuia wazazi wake wasife?
ReplyDeleteDunia inaelekea mwisho ndg zangu,dalili zote tayari
Mungu ni mmoja,hakuzaa wala hakuzaliwa,