Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2010

    Nikisikiliza huu wimbo wa Mr. Paul huwa nachefuka sana! Kwa nini kuharibu wimbo wa Marijani kiasi hicho?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2010

    hiyo nyimbo zuena by marijani ni nzuri sana. kwanini mara kwa mara watu kama hawa wanaiaribu hii nyimbo. shem on you.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2010

    Nyimbo mmhhh hanivutiii kabisa...orignal bado bomba...
    Mboni naye kila mahali hakosi mwee..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...