Askari wa kikosi cha zimamoto wakiendelea kuzima moto uliokuwa unawaka katika nyumba ya mzee afahamikae kwa jina mzee Kandege iliyopo maeneo ya Tabata Shule,jijini Dar mara baada ya shoti ya umeme kutokea iliyokuwa imeanzia katika moja ya vyumba vya nyumba hiyo.hakuna mtu yeyote aliedhulika wala kupoteza maisha katika ajali hii kwani wakazi wa nyumba hiyo hawakuwepo.
sehemu ya ndani inavyoonekama baada ya kuteketea kwa moto.
jamaa akipekua pekua kuona kama atapata chochote kitu.
sehemu ya nyuma ya nyumba
baadhi ya viombo vilivyookolewa.
sehemu ya watu waliofika katika eneo la tukio wakiwa wamezunguka eneo hilo huku gari la faya likipiga mzigo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...