Amani kwako Mkuu wa Nanihii a.k.a ANKAL,Salaam kwa wadau wote popote mlipo.Ankal katika hii mechi yetu (TZ) na Brazil,Tukiachana na Viingilio,Wadhamini,idadi ya magoli,Kamau,idadi ndogo wa waliodhuria uwanjani,shabiki kuingia uwanjani,nanihii kuchelewa kuwasili uwanjani.
Ningependa kuzungumzia kile wadau wanaita kituko kati ya mtoto wetu mzuri na wachezaji wa Brazil.Kwanza it was funny ukitazama utapenda na ndiyo imetalawa katika media huko brazil kuliko chochote kilichojiri siki ile.
Pili lazima tukubali kuwa kids will be kids kwahiyo hakuna sababu yoyote ya kujihisi tumekosea kwani mambo kama haya utokea popote si kwetu tu.Tazama hii Chelsea vs Liverpool
katika mechi za ligi pia,Wawavalishe fulana size yao.
Nimemalizaaa.
Mdau wa Ulaya
Mdau wa Ulaya


KWA KWELI CLIP YA DOGO WA BRAZIL IMENIFURAHISHA SANA MIMI KAMA MZAZI WA WATOTO WALIO KATIKA UMTI HUU. HUWA NAPENDA SANA KUONA WATOTO WAKIWA FREE NA WANAJI-EXPRESS WANAVYO-FEEL BILA KUZUIWA WALA KUBUGUDHIWA. NATAMANI NINGEPATA TAFSIRI YA KIRENO NENO KWA NENO NIONE ILIVYORIPOTIWA HUKO. NIMEANGALIA YOUTUBE KUNA COMMENTS NYINGI ZA KIRENO, HAKUNA NAMNA UNAWEZA PATA TAFSIRI YA CLIP HII FROM PORTUGUESE TO ENGLISH?
ReplyDeleteMdau ulioleta topic hii nakubaliana nawe kabisa.
ReplyDeleteTatizo la watanzania hatupendi kabisa kuwacha watu wakajua tulivyo. Mtoto ni mtoto hata siku moja usitegemee kuwa ata beheave kama mtu mzima. Huyu mtoto ameonyesha exactly how a kid he is na watu tele nje ya nchi wamempenda, kila ninaemuonyesha hapa nilipo wanacheka kwa furaha na kusema how cute he is.