Redd's Miss Ilala 2010,Bahati Chande akiwa na mshindi wa pili Consolata Lukosi (shoto) na Mshindi wa tatu na Salma Mwakalukwa
Redds Miss Ilala 2010,Bahati Chande akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wenzie alioingia nao tano bora wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye hatua hiyo.
Mwaandaji wa shindano hilo kutoka kampuni ya Metro Politan,Jakson Kalikumtima akitaja kumi bora ya Redds Miss Ilala 2010 usiku wa kumkia leo ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza jijini dar




Ahsanteni sana, lakini jamani sasa basi ma-miss wametimia...
ReplyDeleteBongo kuna vimwana hadi wengine huku pressure zinapanda na kushuka kwa wasiwasi.
ReplyDeleteNot impressed by the choice,she does not stand out from the rest.
ReplyDeleteMe too I second you @ 8:54pm ...I think the other girl the tallest one with the red dress looks much better than the winner. The winner looks just like a girl next door and we have so many of those (beauty but not unique)..
ReplyDeleteBy the way what is the height requirement for the miss so and so pageants in Tanzania? Most of them look very short...