Home
Unlabelled
shangingi lapiga mweleka maeneo ya manga mkoani tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watanzania tunafurahia mkeka (rami barabarani) ukweli ni kwamba hio barabara haijasanifiwa vizuri. Inabidi tujieleweshe kuwa barabara nzuri sio lami bali muundo wake.
ReplyDeletePia hio mistari ya kutenganisha barabara mbona kama ni ikiinimacho. Kwa stahili hio, magari mengi yanakuwa yanaacha njia, tunabakia kujiuliza......hakuna mchawi hapo ni uzembe wetu wenyewe.
no tatizo siyo kasi haya mashangingi ya siku hizi bure kabisa hayana balance barabarani spidi kidogo tu linahama njia
ReplyDeleteHiyo Shangingi ni ya Wizara tu (SIRIKALI) tu
ReplyDeletemagari mendgi yanarudishwa viwandani kutokana na kukosewa kwa mahesabu flani katika balance na miundo ya breki kwenye kompyuta za viwandani. sasa hapa bongo sijui kama hilo linaangaliwa.
ReplyDeleteDuu poleni sana. Natumai wote walitoka salama. Kwani walikuwa wanaenda kutangaza nia nini??? Maana ukiwa na nia tu watu wanaanza kukutumia MASCUD.....
ReplyDeleteNaona kauli mbiu ya mwendo kasi unaua inasahaulika haraka sana. Nahisi ni gari ya serikali manake hata plate namba zake zimechomoka wakati wa ajali hiyo....
ReplyDeleteMichuzi si vema kutumia lugha za utani kwenye habari za majanga, grow up...
ReplyDeleteGari hilo TOYOTA Landcruiser LC200 ilikuwa jipya kabisa na ni mali ya Jamhuri.Namba zimehifadhiwa.
ReplyDeleteAbiria na dereva waliokolewa na Air Bags zilizo fumuka humo ndani la sivyo wote wangekuwa vibogoyo!
Kwa wasioyaelewa haya magari wajue kuwa yanaenda kwa kasi ya zaidi ya 200km/hr , na udadisi tuliofanya ni kuwa gari hili lilikuwa likielekea Mwanza kupitia Arusha.
Na kesho dereva huyu dereva atapewa electronic license mpya bila hata wasiwasi.
ReplyDeleteTatizo ya mashangingi haya mapya ni mabua jamani,yanapea kabisa barabarani.
ReplyDelete