


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wakati tunafurahia mafanikio ya Kilaji kunahaja ya nchi yetu kujikita katika viwanda vya nguo kwani huku Marekani kuna fursa kubwa kisoko chini ya mpango wa AGOA ambapo nchi za Kenya ,Lesotho na Egypt zimeingiza bidhaa zao za nguo katika soko la Marekani. Jamani tufanye hima. Muhimu ni standard ukiona Made in Lesotho unajiuliza kweli? Ni kweli wanaendana na ubora wa soko.
ReplyDeletePicha ya nne kutoka juu ambapo Mzee Mkolwe amezungukwa na mabinti nimeiangalia na kujikuta nasema "mbona haya majitu yamemfunika Mzee wa watu"
ReplyDeleteI have the right to remain silent. Penye udhia penyeza rupia. Comments reserved.
ReplyDeletemdau #1 umesema kama wazo langu,ata sielewi kwanini tunaendekeza izi bia-bia ilhali kuna fursa nyingi sana nchi jirani na nje!!kenya walishatupiga bao kitambo tu
ReplyDeletesasa ebu ona hapo ivi wote hao wanywa?sasa wasiopiga kilaji yaweje
katika jina la Muumba ilo roho lishindwe tuwe na kiasi jamani,ndio tunakunywa lakini kwakwel viwanda vya pombe ndo kila siku vyafunguliwa
Hongera sana Ndovu. Now do you export ur drink? or u have to be in Tanzania to get it? how do i get it in USA? that should be ur challenge, aim high, all the best.
ReplyDeleteI do agree with the person who said we should work harder and harder on other industries so that we can utilize fully the AGOA market. Meanwhile i dont support what has been done with TBL in the sense that such a celebration is massive we have seen companies winning stuff over the world and they dont do that. The amount spent for a country like TZ could have done alot in poverty alleviation. Hivi jamani kuna haja ya sherehe km hiyo wakati watu hawajala? Zaidi sana ninasikitika mno kuona kila jambo dogo mabinti ndio wanakuwa wauza sura mwisho wa siku unasikia si lolote ...Mazingira tunayowaweka yanachangia sana maendeleo yao kielimu na kiutendaji pia...honestly i dont like it.
ReplyDeleteHIVYO VIWANDA VYA KENYA NA LESOTHO NI VYA WACHINA SI WAZAWA WACHINA NA WAHINDI WANA AKILI SANA WANAJUWA AFRICA KUNA AGOA, SO WAMEKUJA KUANZISHA VIWANDA AFRICA WAKIJUWA WATAFAIDIKA NA AGOA, NIMETEMBELA VIWANDA VYA NGUO KENYA NA LESOTHO NI VYA WAHINDI TOKA INDIA NA WACHINA TOKA CHINA, VIPI PIA VYA WAZUNGU TOKA ULAYA WANAFAIDIKA NA AGOA PAMOJA NA CHEAP LABOUR
ReplyDeletewe ankal! mnuso bila manyamanyama huo sio mnuso manake hakuna harufu ya mapochopocho zaidi ya maji ya gold tuu. na nyie mliovaa miwani usiku mlikuwa mnawakilisha nini? mtajikwaa bure miwani ya hina ukivaa mchana tu unaona milima usiku si ndo balaa mh
ReplyDeleteBia wanafanya bia na sisi wengine tufanye vingine. Sio tuwazuie watu wa bia wasifanye bia ama wahubiri injili. Wewe namimi tutafute industry nyingine tuiendeleze na iwe kubwa.
ReplyDeleteTayari bia na soka tumeona wanafanya nini hivyo nasisi (mimi na wewe) tubuni vyetu na tuvijengee hoja na kusimama kidete.
Hatutafanikiwa kwa kukosoa wenzetu bali kuwa creative wenyewe na kufanya jingine better na kubwa. Ni udhaifu kuangalia wanachofanya wenzetu ikiwa sisi hatufanyi kitu.
Sina maana ya kukosoa hoja ila kwa nia nzuri na upendo na-share feelings zangu na wenye nia ya kufanya mambo makubwa kwamba tubuni mambo yetu na tuyakuze.
Ankal Fred, very glad to see you!!!
ReplyDeleteMdau wako wa Canada :-)
celebrate and take advantage of that success to create more opportunity.. export,export,export sababu ya kumconvince mtu kunywa Ndovu ndo hiyo tayari mnayo msilale
ReplyDeleteTusker wanauza liquor store za USA na sidhani kama wameshinda tuzo kama hiyo.. tangaza,safirisha, uza, boresha zaidi..
Octa na Ngadada mmeniacha hoi..hehehehehe. Sasa hilo pozi la octa jamani hehehehehehehehe.
ReplyDelete