Mkurugenzi wa TBL Robin Goetzsche (kulia) akipokea tuzo ya Grand Gold Award iliyopata Ndovu Special Malt toka kwa mpishi mkuu wa TBL Gaudence Mkolwe katika hafla malumu ya kupokea tuzo hiyo iliyofanyika kiwanda cha TBL cha Dar
Meneja wa Ndovu Special Malt Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Gaudence Mkolwe wakiwasili hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo kwenye mnuso ulioandaliwa kusherehekea tuzo ya Grand Gold iliyopata Ujerumani
Oscar Shelukindo akiongelea jinsi yeye na gaudence Mkolwe walivyopokea tuzo na jinsi alivyo na furaha kuona kilaji cha Ndovu ambacho yeye ndiye meenja wake kimepanda chati haraka haraka hadi kupata tuzo. TBL imeanza kuzalisha Ndovu miezi minane ilopita
Mzee Gaudence Mkolwe akiongelea furaha aliyonayo
kwa kuona kilaji alichobuni kimepata tuzo
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja akiongea na Ankal Fred kwenye hafla hiyo
Mzee Arnold Kilewo akiongea na baadhi ya maofisa wakuu wa TBL
wadau katika mnuso wa Ndovu
kila mtu alitekuwepo alionesha furaha
Baadhi ya maofisa wa TBL mnusoni
MC Ephraim Kibonde akipropoze tosti
wadau wakipiga chiazzzzz...
Wahapahapa Band walitumbuiza
wadau wakifurahia mnuso
wadau wakipata kilaji cha Ndovu
Mzee Mkolwe na Oscar Shelukindo wakipongezwa na wadau















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2010

    Wakati tunafurahia mafanikio ya Kilaji kunahaja ya nchi yetu kujikita katika viwanda vya nguo kwani huku Marekani kuna fursa kubwa kisoko chini ya mpango wa AGOA ambapo nchi za Kenya ,Lesotho na Egypt zimeingiza bidhaa zao za nguo katika soko la Marekani. Jamani tufanye hima. Muhimu ni standard ukiona Made in Lesotho unajiuliza kweli? Ni kweli wanaendana na ubora wa soko.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2010

    Picha ya nne kutoka juu ambapo Mzee Mkolwe amezungukwa na mabinti nimeiangalia na kujikuta nasema "mbona haya majitu yamemfunika Mzee wa watu"

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2010

    I have the right to remain silent. Penye udhia penyeza rupia. Comments reserved.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2010

    mdau #1 umesema kama wazo langu,ata sielewi kwanini tunaendekeza izi bia-bia ilhali kuna fursa nyingi sana nchi jirani na nje!!kenya walishatupiga bao kitambo tu

    sasa ebu ona hapo ivi wote hao wanywa?sasa wasiopiga kilaji yaweje

    katika jina la Muumba ilo roho lishindwe tuwe na kiasi jamani,ndio tunakunywa lakini kwakwel viwanda vya pombe ndo kila siku vyafunguliwa

    ReplyDelete
  5. Hlle BerryJune 04, 2010

    Hongera sana Ndovu. Now do you export ur drink? or u have to be in Tanzania to get it? how do i get it in USA? that should be ur challenge, aim high, all the best.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2010

    I do agree with the person who said we should work harder and harder on other industries so that we can utilize fully the AGOA market. Meanwhile i dont support what has been done with TBL in the sense that such a celebration is massive we have seen companies winning stuff over the world and they dont do that. The amount spent for a country like TZ could have done alot in poverty alleviation. Hivi jamani kuna haja ya sherehe km hiyo wakati watu hawajala? Zaidi sana ninasikitika mno kuona kila jambo dogo mabinti ndio wanakuwa wauza sura mwisho wa siku unasikia si lolote ...Mazingira tunayowaweka yanachangia sana maendeleo yao kielimu na kiutendaji pia...honestly i dont like it.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2010

    HIVYO VIWANDA VYA KENYA NA LESOTHO NI VYA WACHINA SI WAZAWA WACHINA NA WAHINDI WANA AKILI SANA WANAJUWA AFRICA KUNA AGOA, SO WAMEKUJA KUANZISHA VIWANDA AFRICA WAKIJUWA WATAFAIDIKA NA AGOA, NIMETEMBELA VIWANDA VYA NGUO KENYA NA LESOTHO NI VYA WAHINDI TOKA INDIA NA WACHINA TOKA CHINA, VIPI PIA VYA WAZUNGU TOKA ULAYA WANAFAIDIKA NA AGOA PAMOJA NA CHEAP LABOUR

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2010

    we ankal! mnuso bila manyamanyama huo sio mnuso manake hakuna harufu ya mapochopocho zaidi ya maji ya gold tuu. na nyie mliovaa miwani usiku mlikuwa mnawakilisha nini? mtajikwaa bure miwani ya hina ukivaa mchana tu unaona milima usiku si ndo balaa mh

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2010

    Bia wanafanya bia na sisi wengine tufanye vingine. Sio tuwazuie watu wa bia wasifanye bia ama wahubiri injili. Wewe namimi tutafute industry nyingine tuiendeleze na iwe kubwa.

    Tayari bia na soka tumeona wanafanya nini hivyo nasisi (mimi na wewe) tubuni vyetu na tuvijengee hoja na kusimama kidete.

    Hatutafanikiwa kwa kukosoa wenzetu bali kuwa creative wenyewe na kufanya jingine better na kubwa. Ni udhaifu kuangalia wanachofanya wenzetu ikiwa sisi hatufanyi kitu.

    Sina maana ya kukosoa hoja ila kwa nia nzuri na upendo na-share feelings zangu na wenye nia ya kufanya mambo makubwa kwamba tubuni mambo yetu na tuyakuze.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 05, 2010

    Ankal Fred, very glad to see you!!!

    Mdau wako wa Canada :-)

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 05, 2010

    celebrate and take advantage of that success to create more opportunity.. export,export,export sababu ya kumconvince mtu kunywa Ndovu ndo hiyo tayari mnayo msilale
    Tusker wanauza liquor store za USA na sidhani kama wameshinda tuzo kama hiyo.. tangaza,safirisha, uza, boresha zaidi..

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 05, 2010

    Octa na Ngadada mmeniacha hoi..hehehehehe. Sasa hilo pozi la octa jamani hehehehehehehehe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...