Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao, wakishindana kuvuta kamba wakati wa Siku ya Familia iliyofanyika katika Hoteli ya South Beach, Kigamboni, Dar, wikiendi ilopitaMkurugenzi wa Ufundi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Trevor Gray akimpongeza mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, aliyeshinda mbio za Km 2 katika tamasha la Siku ya Familia ya wafanyakazi wa kampuni hiyo, iliyofanyika katika Hoteli ya South Beach, Kigamboni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Ofisa Uhusiano Lillian Erasmus, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Uhusiano, Steven Kilindo, Meneja wa Kiwanda, Salva Rweyemamu na Meneja Miradi Clinton Kimber.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania na familia zao wakipata mlo wa mchana wakati wa Tamasha la Siku ya Familia iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya South Beach Mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Sufiani Athuman, akishindana kucheza pool na mfanyakazi mwenzie Rajabu (hayupo pichani) katika pambano lililofanyika Siku ya Familia iliyofanyika katika Hoteli ya South Beach, Kigamboni, Dar es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni mwamuzi wa pambano hilo, Skubi Mlapakolo.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2010

    Ni swali tu msije mkanitoa roho. Zanzibar timu za mpira na mashindano yoyote yanayodhaminiwa ama na wauza au watengeneza pombe vinakatazwa sasa inakuwaje Rajab na Athumani wenyewe wako jikoni wakitengeneza hii kitu haramu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2010

    Mnafanya sifa sasa na hivyo vyakula vya Bongo? Wengine tuko away from home jama! Ah!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2010

    AAH waacheni wazanzibar naona mmewakaa kooni. na ww nani alokwambia kisiwa kizima kinawakilishwa na rajabu na athumani.nyambaf

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2010

    hicho chakula cha njano ni fries ama!...mi naziona kama senene vile!!..aamm aaammmm hehe!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...