Mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Sufiani Athuman, akishindana kucheza pool na mfanyakazi mwenzie Rajabu (hayupo pichani) katika pambano lililofanyika Siku ya Familia iliyofanyika katika Hoteli ya South Beach, Kigamboni, Dar es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni mwamuzi wa pambano hilo, Skubi Mlapakolo.

Ni swali tu msije mkanitoa roho. Zanzibar timu za mpira na mashindano yoyote yanayodhaminiwa ama na wauza au watengeneza pombe vinakatazwa sasa inakuwaje Rajab na Athumani wenyewe wako jikoni wakitengeneza hii kitu haramu?
ReplyDeleteMnafanya sifa sasa na hivyo vyakula vya Bongo? Wengine tuko away from home jama! Ah!
ReplyDeleteAAH waacheni wazanzibar naona mmewakaa kooni. na ww nani alokwambia kisiwa kizima kinawakilishwa na rajabu na athumani.nyambaf
ReplyDeletehicho chakula cha njano ni fries ama!...mi naziona kama senene vile!!..aamm aaammmm hehe!!!
ReplyDelete