Mlinzi wa timu ya Mkoa wa Lindi, Rajabu Mbela (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Tanga, Mohamed Hassani (katikati) wakati wa mchezo wa vijana chini ya umri wa miaka 17 wa Copa Coca Cola uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar leo. Kulia ni Diones Tindwa. Tanga ilishindi mabao 5-1. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...