Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Vicky Nsilo Swai (kulia) akimkabidhi cheti kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Moshi Mjini, Aggrey Marealle kwenye sherehe ya kufunga kambi ya vijana wa CCM iliyodumu kwa wiki moja amabapo walijifunza itikadi na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu. Katikati ni Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Moshi Mjini, Godliving Moshi. Sherehe hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2010

    lol, agrey umekuwa kama askari wa jiji kivazi hicho mwana kimekutoa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2010

    CHADEMA OYE!! Ndesamburo hoyee! Mbowe hoyee!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2010

    Aggrey tuambiane bwana. ni ubunge 2015 unaounyemelea au...maana nakuona siku hizi mmh...haya bwana, anza kuvuta kasi sasa kwani 2015 siyo mbali hiyooo...na Ndesapesa hatagombea...kazi kwenu. Kwa Oktoba hii mwanangu nakushauri usitie pua...utaangukia pua..waachie waliomo kwani bado wamo....si unawajua?? Balozi Nkya, Meja Jenerali Mstaafu kamanda Mbogo, Mama wakili....sijakutajia akina Faraji Kibaya akina Shamba ambao ndio watoto wa hapohapo.
    Halafu nikuume sikio mwanangu...kuna mtoto wa mtaa wa chini mfanyabiashara mtanashati anayeitwa Chepe naye yumo mbioni.
    Kazi kwenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...