Zoezi la kumdhamini mgombea wa urais kwa tiketi ya ccm JK
likiendlea katika ofisi ya chama hicho mkoani arusha leo Baadhi ya wanaccm wakisubiri zamu yao ya kumdhamini mgombea urais wa chama hicho rais jakaya kikwete katika ofisi za chama hicho mkoani arusha kutoka kushoto ni babla muba,moza hashim na anna msuya. Picha na Novatus Makunga


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 24, 2010

    Makunga! JK anadhaminiwa na WA DADA TU! ama ndio chaguo lako kwa siku ya leo? hata hivyo big upppp sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    Mtadhamini sana

    ReplyDelete
  3. Bradha.
    Nisalimie Dada Moza huyo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    heee huyu ni yule moza wa forest hill enzi hizo alimaliza kidato cha nne miaka ya 1993? jamani kama ndio wewe umenenepa sana, tuwekee email yako basi ili tuwasiliane. Mhitimu mwanzako wa forest miaka hiyooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...