
TM music [Tuungane kwa Mema] au ukipenda Tumaini na Mgini, ni kundi kubwa la waiimbaji wapatao 170 wakiimba nyimbo za injili za kumsifu Mungu.
Kundi hili kubwa lina nia moja ya kua pamoja kwa mema.Na limewashirikishawaimbaji kutoka makabila mbali mbali na madhehebu yote kwa kumsifu Mungu kwa uimbaji mahiri tena wenye Mvuto.Nyote mnakaribishwa.
Michuzi ingekua vizuri kama ungepata aelezo kutoka kwa wananchi hao, maana taarifa za polisi siyo za kuziamini kabisa, hata siku moja hawawezi kueleza mapungufu yao hata kama yanaonekana wazi watajitetea tu na kuwakandamiza wananchi,
ReplyDeletekwanza waliwahesabu vipi hao watu 300?mbona haiingii akilini,
nampaka watu 300 wafikie lengo moja siyo bure,lazima kunadukuduku kubwa wakashindwa kuvumilia.
Wananchi wote tunafahamu viuri tabia za polisi au watu mbali mbali wenye madaraka. hata wakiua watashinda tu kesi na mpaka leo wahalifu hawajapatikana.poleni wananchi
sawa, lakini wekeni angalau contact information.
ReplyDeleteNyie ni wakali,nilitizama interview yenu na Tumaini Tv yaani mnaimba kama malaika,nitakuja kujumuika nanyi jumapili!Na kupata CD zenu pia! Kwa wasiopajua City Christian Centre ipo Upanga inatizama na Mzumbe University-Dsm School of Business
ReplyDelete