Tangu nilipomsikia Afande Sele kwa mara ya kwanza kabisa nilifahamu kuwa muziki hatimae umepata wa kuutumikia. Siku zote huyu mshkaji amekuwa na busara zilizomshinda umri na umbo lake.

Katika wimbo huu wa "Mwisho wake Lini?", mkali mwingine, "Tycoon", anamshirikisha mkali wa rhyms na kwa mara ya kwanza kabisa tangu mwaka huu uanze tunapata kibao ambacho kinatukumbusha sisi ni akina nani, tumetoka wapi, tuko wapi, na wapi tunakwenda.

Imeletwa kwetu na BABAKUJA wa FOTOBARAZA

.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2010

    very good song !! ni wakati wa wasanii kuimba nyimbo kama hizi twaweza fanya mapinduzi kwa nyimbo pia !! hina bidi tuwaimbie adi wameone haibu na kubadilika!! mnakumbuka mwimbo wa kikojozi ??? watoto waliacha kujikojolea kitandani kwa sababu waliogopa kuimbwa ! hope u got ma point hina bidi na viongozi waimbwe hili waone haibu !!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2010

    Good song, well composed but not well sang, i like Sele's verses because its only and will remain to be only Tanzania whereby one person can be a member of parliament at the same time a regional commissioner as if there is no other people who can be leaders. This is Tanzania more than you know it
    mdau toka holland

    ReplyDelete
  3. Mpalang'ombeJune 28, 2010

    Good song, lakini je utawafikia?, maana vituo vya redio ambavyo ndiyo ingekuwa chachu ya kuwafikishia ujumbe vingi vimeshikwa na hawahawa "BusinessGovmen" maana wameishikia nchi kama vile ni kijimgahawa chao, yaani chakula gani kipikwe na kipi kisipikwe mteja hana chaguo bali ni kula kati ya vilivyopo.

    Haya yote yamesababishwa na kudharauliwa kwa Azimio la Arusha. Hili lilikuwa linaweka wazi misingi ya uongozi bora na msingi mama ni kutokuwa na hisa kwenye makampuni binafsi. Leo hii hili limevunjwavunjwa. Ofisi za umma zimegeuka kuwa ofisi za kufanyia biashara binafsi.

    R.I.P Mwl JKN

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 28, 2010

    Mimi siyo mpenzi wa bongo flava, Lakini kwa hiki kitu sina budi kusema Asante Tycoon Shah, Afande Sele and Banana, mlichosema ni ukweli tupu. Mwalimu kweli wewe ulikuwa nabii, "there is no lelemama in future", nadhani Mhe kaupata huu ujumbe ni wakati wa wasanii kucha kujipendekeza kwa CCM na watu wake na kufanya kazi zao.

    Big up Tycoon, Afande sele na Banana, hakika ni deni la kulipa kwenu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 28, 2010

    huyu anon wa 11.39 hana bidii kutoa comments hivi haoni kuwa anakosea au ndio mcharuko, hinabii haibu lol!!!! ni maneno hayo hutamkwa na I na siyo H. kiswahili lugha yetu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 28, 2010

    Kaka Michuzi wawekee watu waone wimbo ule wa Afande Sele wa uwanja mpya,nimekutumia mail naona umeitupa kapuni,wimbo ule unafaa sana kutumika kuihamasisha jamii katika kutafuta maendeleo kweli ya soka hapa bongo,Afande Sele ni kichwa ambacho kwangu sijaona mfano wake kwa wasanii wa bongo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 28, 2010

    Kwa kweli ujumbe ni safi kabisaaaaaaaaaa, bomba sana, kazi kwa hao viongozi wa CCM

    Nyimbo na wasanii sehemu nyingi walisababisha mapinduzi, nakumbuka South Africa, Muziki wa reggae umechangia ukombozi wa mtu mweusi,
    sasa huu mwanzo mzuri, Serikali ya chama tawala someni alama za nyakati

    mdau ughaibuni

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 28, 2010

    Hizi ndo ladha tunazohitaji sasa hivi...tumezoea kusikia nyimbo zenye ujumbe ambao ukweli wake hatuuoni...huu umelenga penyewe...keep up guys...safi sana...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 28, 2010

    Very good message this is an excellent job done by an artist. If we had more of this from the artists would have been some changes probably. 40 hys of independence and 90% of tanzanians are in terrible poverty and only few ppl are beneficiaries of the independence,when will these ppl see hope,have a decent life? if our leaders are not gonna change from working on behalf of their families to truelly saving the ppl in need then will b a day dream for this among poorest countries in the world to eliviate poverty and bring about stable and sustainable economy for the majority to enjoy. Suprisingly,Tanzania is ranked among 5 most poorest and undeveloped human services countries in the world. How can a country with all the resources be in line with countries lk Ethiopia,Somalia and DRC,these countries have constantlly been in war as opposed to Tanzania that has all the potentials to develop. I think the leaders are using peace as an object to steal and do all evils knowing that no one will hold them responsible,BUT YOU LEADERS remember that GOD will hold you reponsible for failling to deliver your promises. God bless all ppl that have no access to medical attentions,all ppl who doesn't know what a tomorrow's meal will look lk,all pregnant womans who have died coz they didn't have a care needed for their martenity,all children who instead of going to school have to go to work and ofcourse this is what is escalating robberies,theft,baglaries in Tanzania because these kids are being recruited by hash environment to be what they becomes in adult life,thieves.God is only one to decide our fate,amen.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 28, 2010

    Im in love na afande sele,naombeni contact,najua ana watoto,nitalea,nitamfungulia studio na radio station ambayo itapigwa tu nyimbo zake(mashairi yake yamefika university)

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 28, 2010

    Yall put it down. Its about time yall speak up up and let these corrupt leaders know that we aint dumb like they think af mlalahoi. I just cant figure it out why my beloved country with all resources still its citizens cant rip the benefits begiven by GOD. UR VOTE IS UR ASSET LET IT COUNT THIS TIME WATANZANIA.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 29, 2010

    msela alistahili ufalme wa ryhmes waliompinga na wanaompinga ni mamluki ktk fani big up selemani wewe ni hiphop wa ukweli.mdau greece

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...