Home
Unlabelled
vodacom yatoa zawadi kwa mshindi wa shindano la kombe la dunia trivia sms
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Braza ume-win luninga!! Sio mchezo hongera sana. Mpe hongera na Attu mshabiki wa England, mwambie sasa ndio ata-enjoy World Cup. Big up bro!!
ReplyDeletePitiliza nayo Kimara hiyo Ully, ujanja kuwahi!
ReplyDeleteNampongeza mshindi lakini kulikuwa na mizengwe fulani, manake kuna kipindi nilikuwa nashiriki ukituma jibu mara 2 au 3 unapatia, ukituma tena wao hawaleti swali tena, ukiuliza swali pesa inakatwa swali haliji. Unakatishwa tamaa, na nilifanya hivyo zaidi ya mara nyingi.
ReplyDeletekwa kweli sina hakika saana kama shindano lilikuwa fair.
Ila nampongeza kama ameshinda kihalali manake niliona kama kuna namna fulani ya ujanja wa wendesha shindano.
Ilifika siku moja nikamuuliza customer care, akaahidi subili swali litakuja lakini halikuja.
Kwa kweli nimekata tamaa na mashindano ya mitandao, unaliwa pesa bure.
Mi nadhani bora ningeliwa si kwa ujanja wa kutokuleta maswali kulingana na maelezo husika. habari ndio hiyo.
Mh Uli afadhaki kimara tumeshinda safari hii kila siku mitaa fulani tuu? Umependeza mwaya wape hai masela wa kimara.
ReplyDeleteMdau Sweden