
Muuaji Philip Onyacha
Ankal na wadau wooote,
Napenda kuwatahadharisha watanzania wenzangu ukikutana na mtu usiyemjua akakusalimia na kutaka kukupa mkono please usikubali. Nchini Kenya kuna jamaa anaitwa Philip Onyancha kaua watu 17 wote wanawake na alikuwa amepanga kuua wanawake 100. kawaua thika, naivasha na nairobi amekiri kuua na alikuwa akiua anakunywa damu zao.
Mwalimu wake wa sekondari alimfundisha jinsi ya kuua watu. akikutana na demu akimsalimia dem anamfuata mwenyewe. Akimpa mkono ni kosa yaani utaenda tu. Kama huyo mwanamke ni target yake lazima utamfuata yaani ni kama mbwa akiona nyama. Jana alikuwa anawaonyesha polisi sehemu ambazo ameficha maiti. Kwa kupata habari kamili soma magazeti ya star, the nation, standard, people yote ya nchini Kenya.
Jamaa alikuwa anaeleza jinsi alivyoua bila hata kuogopa kwa raha zake anahojiwa na media na kusema.Siku njema wapendwa na kila laheri katika kusikiliza bajeti yetu leo, kesho ufunguzi wa kombe la dunia yaani hadi raha ila hawa wauaji wanatukosesha raha wanawake.
Mwalimu wake wa sekondari alimfundisha jinsi ya kuua watu. akikutana na demu akimsalimia dem anamfuata mwenyewe. Akimpa mkono ni kosa yaani utaenda tu. Kama huyo mwanamke ni target yake lazima utamfuata yaani ni kama mbwa akiona nyama. Jana alikuwa anawaonyesha polisi sehemu ambazo ameficha maiti. Kwa kupata habari kamili soma magazeti ya star, the nation, standard, people yote ya nchini Kenya.
Jamaa alikuwa anaeleza jinsi alivyoua bila hata kuogopa kwa raha zake anahojiwa na media na kusema.Siku njema wapendwa na kila laheri katika kusikiliza bajeti yetu leo, kesho ufunguzi wa kombe la dunia yaani hadi raha ila hawa wauaji wanatukosesha raha wanawake.
Kwani kama wakikupata wasipokuua lazima watakubaka. Nakutumia na picha ya muuaji ambayo nimeipata kwa hisani ya gazeti la Nation.
Mdau Anna
Mdau Anna
kutoka Nairobi
Me nilifikiri mauaji ya wanawake ni hapa tu ughaibuni kumbe na Bongo land!!. Mtu anayedhubutu kumuua mtu hasa mwanaume kumuua mwanamke ambaye amemvulia nguo na kufanya nae tendo la ndoa, mimi naamini mwanaume huyo either anakuwa under influence au anakuwa na mental disorder, hana akili nzuri kabisa.Juzi nchini Peru tu jamaa amemuua mpenzi wake baada ya kuafanya nae mapenzi usiku kucha ndani ya hotel, kisa ati huyo dada alimkuta anaangalia laptop ya jamaa na kugundua kuwa huyo jamaa ni prime suspect wa murder in Alabama, usa na alikuwa akitafutwa na interpol..!!.Hawa ni serial killers, they should be senteced to death by lethal dose, take them out of the world and streets.
ReplyDeleteduh huyo jamaaa aloweka coment wa kwanza anaandika vitu hata hajui,nani kakwambia jamaa aliuwa alabama marekani na anatafutwa na interpol,msiwe mnasema vitu kama hamjui.jmaa kwanza alikuwa hatafuti na interpol maana hajauwa marekani bali alimuuwa mmarekani,pili kesi ilikuwa imeacha maana alishakamatwa two times lakini ushahidi ulikuwa hautoshi,nne jamaa hajafanya mapenzi na huyo mwanamke usiku kucha.
ReplyDeleteAnna, asante kwa hii taarifa, tutajihadhari.
ReplyDeleteLakini nina maswali machache. Kama ametiwa nguvuni na vyombo vya sheria na pia amekiri kufanya mauaji yote hayo, iweje tujihadhari tukikutana nae? Si atakuwa anastahili hukumu nzito na wala hatutamuona tena uraiani?
Asante Anna.
Ano.June10,06:1:00pm.
ReplyDeleteKwa taarifa yako huyo jamaa muuwaji wa Peru alisha confess yeye mwenyewe kuwa ndiye aliyemuu binti wa kimarekani, Hllloway mwaka 2005 na kutupa remains zake kwenye jengo lililokuwa linajengwa kwa wakati huo.Na alitaka $250,000 ili awaonyeshe ndugu zake the body remains na ndiyo maana alikuwa anakabiliwa na case mbili tofauti yaani, Extortion case na Murder case ya mwaka 2005.Alishapewa advance ya $25'000 na inasemekana hela hiyo hiyo ndiyo aliyoitumia kwenda kufanya mauaji huko Peru kwa kumchukua marehemu Stepheny kutoka moja ya casino kubwa nchini humo. Sasa ushahidi gani tena unaousema ati FBI hawakuwa nao wa kumuweka atiani? Forensic evidence or what?.
ok mdau wa pili baada ya kumshambulia mdau wa kwanza hebu nawe tueleza basi hivi interpol huwa wanadeal na mauaji na jinai zinazofanyika marekani tu? hivi hata unajua maana ya interpol. Labda nikusaidie kidogo inter pol
ReplyDeleteSivizuri kujifanya unajua sana na kuwakosowa wenzako kwa kiburi ilhali wewe mwenyewe hujui yote. HAKUNA ALOKAMILIKA, tuwe wastaarabu tunapokosoana.
huyo jamaa anaitwa KAMAU. amekasirishwa kutokana na brazil kucheza na tanzania. kwa hiyo kaamua kuuwa wanawake 100 kupunguza hasira....
ReplyDeleteTangazo hili unaweza kukutana nalo kwenye nchi ya watu wenye elimu ndogo na uelewa mdogo. Watu mpaka leo wanaamini vitu kama "ukishika mkono wake tu unamfuata mwenyewe... mwalimu wake alimfundisha kuua." Jamani, mkono wake una nini huo, gundi ya mapenzi au dawa za kulewesha wanawake?
ReplyDeleteKatika dunia ya leo ya sayansi, teknolojia na utandawazi huwezi kuniandikia kitu cha kijinga kama hicho nikakielewa.