Urban Pulse management Baraka Baraka na Frank Eyembe wakiwa zawadia TA Reading na Watoto waishio na vijiduddu vya Ukimwi nyumbani Tanzania. Wageni ni pamoja na Waziri Kamala, Mkurugenzi Werego na Balozi Mama Maajar.
Home
Unlabelled
ziara ya waziri dk. kamala reading
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kazi nzuri sana urban co endeleeni kutuiletea mavituzi na ninawapa pongezi kwa michango ya watoto walioathirika.
ReplyDeleteLa mwisho naomba mtundike video ya maswali namjibu yaliojiri kwenye mkutano huo
kwa kweli nilikuwepo na mgeni alijibu maswali ila tatizo liloljitokeza kulikuwa hakuna drink,wamekunywa maji na karanga,pia tulikuweopo watu 20 tu.
ReplyDeleteKazi nzuri Frank. Video production kali na imetulia. Ila kuhusu mchango wenu katika checki, hamjasema ni kiasi gani. Mgekumbuka michango kama hiyo nyumabni watut huwa wanatengeneza checki feki kubwa ili ipigwe picha na tuone kiasi gani. Sasa mseme kiasi gani mlitoa.maana bila hivyo ujumbe wenu haujafika..
ReplyDelete