Urban Pulse management Baraka Baraka na Frank Eyembe wakiwa zawadia TA Reading na Watoto waishio na vijiduddu vya Ukimwi nyumbani Tanzania. Wageni ni pamoja na Waziri Kamala, Mkurugenzi Werego na Balozi Mama Maajar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2010

    Kazi nzuri sana urban co endeleeni kutuiletea mavituzi na ninawapa pongezi kwa michango ya watoto walioathirika.
    La mwisho naomba mtundike video ya maswali namjibu yaliojiri kwenye mkutano huo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 22, 2010

    kwa kweli nilikuwepo na mgeni alijibu maswali ila tatizo liloljitokeza kulikuwa hakuna drink,wamekunywa maji na karanga,pia tulikuweopo watu 20 tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 22, 2010

    Kazi nzuri Frank. Video production kali na imetulia. Ila kuhusu mchango wenu katika checki, hamjasema ni kiasi gani. Mgekumbuka michango kama hiyo nyumabni watut huwa wanatengeneza checki feki kubwa ili ipigwe picha na tuone kiasi gani. Sasa mseme kiasi gani mlitoa.maana bila hivyo ujumbe wenu haujafika..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...