wadau kibao walijitokeza katika All Dar White Party Club Much More jijini Dar na kuelezewa ilikuwa party ya mwaka isiyo na mfano wake hadi sasa.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. jembeulayaJuly 24, 2010

    Ankal kuna habari ya mafuta kumwagika maeneo ya feri tokea jana hebu tafadhali tupe habari zaidi na mapicha kama inawezekana

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    Isije ikatokea kama ya America GULF OF MEXICO na umasikini huu tutakufa kwa wingi!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2010

    HII NDIYO DAR ILE YA MIAKA YA 60,70 NA 80 MAMBO YAMEKUWA MAZURI TENA, HIYO HALI ILIKUWEPO SI DAR TU KARIBU NCHI NZIMA PARTIES, CINEMA. DISCOS MAMBO YALIHARIBIKA BAADAYE KUANZIA MIAKAYA MWISHO YA 70

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2010

    Kaeni nyumbani nyie...njaa itawaua kudadadeeeki...c unaona apo ANKAL ata FANTA imewashinda kuitia mkononi!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2010

    Wabongo kwa kusababisha aah hawawezekani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...