ankal akiwa na wadau wa australia Jacob Kahemele na
Dorah Mwenegoha katika mnuso fulani hivi usiku huu ukumbi wa Istana
hapo ankal kafurahi kwa kupewa tiketi na wadau hawa ya
kutembelea Australia kabla ya mwaka kwisha...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ankal, ukija Australia usije kimya kimya useme kabisa lini waja tujumuike kwa pamoja....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2010

    Sawa Askofu, mpe hongera bwana harusi mbona mimi sialikwi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2010

    Ankal mimi mayor hapa washington dc,jacob na dorah ni jamaa zangu tulikua nao enzi za sekondari ila nimepotezana nao zaidi ya miaka kumi. Na sina contact zao. Email yangu ni mayormlima@yahoo.com. Wampendeza sana their realy couple and its 4real. All the best. Mayor

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2010

    Wadau wa Australia (au sitolia) na wale wa New-Zealand (nchi mpya ya Zea)tupeni habari ya maisha huko,je kunalipa huko,upatikanaji wa kazi n.k
    ila Australia si wabaguzi sana?mtu mweusi si anabaguliwa sana huko?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2010

    watakaoalikwa wa wa kule Tanangozi kwa sababu Anka hajui ile iitwayo bamboo juice ila coconut juice

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 26, 2010

    mh ankal bwana?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2010

    eebwana unakuja aus pande ipi mnkuu tujulishe na lini tukupokee wadau tunatamnani kukuona

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...