amos makala aongea UK
Home
Unlabelled
amos makala awania ubunge mvomero, morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Who is Amos Makala?
ReplyDeleteWell, kumsaidia ndugu yetu mtoa maoni wa hapo juu.
ReplyDeleteMakala ni mpambanaji wa kawaida. Kwa wadhifa ni mtunza hazina wa chama, CCM. Kwa uaminifu wake kwenye kazi aliyonayo hivi sasa anategemewa anaweza kuwa naibu waziri wa fedha kwenye cabinet itakayofuata.
Huyu ni mwanasiasa na mpenda CCM. Kwa watu kama sisi ambao tunafikiria na kuona mbali hatuhitaji watu kama makala, kwani wanatumia ushawishi wa kuongea kudanganya watu.
ReplyDeleteMakala asidanganye watanzania eti serikali imedhubutu kuwapeleka vigogo wala rushwa mahakamani, hiyo ni kiini macho tu au kama wasemavyo waswahili danganya toto. Ama kweli watanzania tupo kwenye giza nene na usingizo mzito. Jamani tubalike, tuamke toka usingizini!
Thanks, anony 9:15! Mi niko mbali kidogo na mambo ya CCM. Sasa mtunza hazina then anataka kugombea ubunge ndani ya chama hicho hicho si atakuwa anazichota tu anapeleka kwenye kampeni. Hao CCM wana auditor mzuri kweli.
ReplyDeleteKaazi kweli kweli
ReplyDeleteWanamziki na wasanii tulizeni njaa lakini siku ya siku ni siri yenu. Kura mpeni anayestahili, aliyekuhonga mtupilie mbali.
ReplyDeleteMIchuzi wewe lini? Usipochukua form mwaka huu basi tena...jaribu bahati yako. Udiwani wa jiji la dar utakufaa keli kwa vile unajua kila corner
ReplyDeleteAnkal na wewe lini utachukua fomu ama wewe mgombea binafsi kama mimi?
ReplyDelete(US Blogger)
Kaka Makala tuna imani kubwa sana na wewe. All the best brother
ReplyDeleteWao sio mafisadi!! Nani ni mafisadi then? Mafisadi wakubwa ambao wamekumbatiwa na serikali ni wana ccm tena wajumbe wa NEC1! Zingine Blabla ooh wameandika kwenye ilani? Kuna serikali yeyote ama chama cha siasa chochote duniani wasiojua rushwa ni adui wa haki? Sawa mmeadika lakini hakuna kilichtendwa!
ReplyDeleteWakati wa uchaguzi wataongea kila wanachoweza lakini cha mno hakuna CCM ni yuleyule!
Makala hongera kwa hatua hiyo wapiga kura ndio waamuzi.Gyuli lumata. all the best
ReplyDelete