amos makala aongea UK
Mweka hazina wa CCM Taifa, Amos Makala, akikabidhiwa fomu na Ndg. Abilai Wakambi, katibu wa CCM Wilaya ya Mvomero leo. Wagombea wengine waliotangulia kuchukua form siku ya jumatatu ya tar 19 July kabla ya Makala ni pamoja na mbunge wa sasa Suleiman Sadick, Musa Mruma, Albane Marcus Mgweno na Engineer Leon Nsimbe
Amos Makala akizungumza machache na kutambulisha baadhi ya watu waliojitokeza kum support na kumsindikiza akiwemo Steve Nyerere na Lady JayDee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    Who is Amos Makala?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    Well, kumsaidia ndugu yetu mtoa maoni wa hapo juu.

    Makala ni mpambanaji wa kawaida. Kwa wadhifa ni mtunza hazina wa chama, CCM. Kwa uaminifu wake kwenye kazi aliyonayo hivi sasa anategemewa anaweza kuwa naibu waziri wa fedha kwenye cabinet itakayofuata.

    ReplyDelete
  3. Huyu ni mwanasiasa na mpenda CCM. Kwa watu kama sisi ambao tunafikiria na kuona mbali hatuhitaji watu kama makala, kwani wanatumia ushawishi wa kuongea kudanganya watu.

    Makala asidanganye watanzania eti serikali imedhubutu kuwapeleka vigogo wala rushwa mahakamani, hiyo ni kiini macho tu au kama wasemavyo waswahili danganya toto. Ama kweli watanzania tupo kwenye giza nene na usingizo mzito. Jamani tubalike, tuamke toka usingizini!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2010

    Thanks, anony 9:15! Mi niko mbali kidogo na mambo ya CCM. Sasa mtunza hazina then anataka kugombea ubunge ndani ya chama hicho hicho si atakuwa anazichota tu anapeleka kwenye kampeni. Hao CCM wana auditor mzuri kweli.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    Kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  6. Wanamziki na wasanii tulizeni njaa lakini siku ya siku ni siri yenu. Kura mpeni anayestahili, aliyekuhonga mtupilie mbali.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2010

    MIchuzi wewe lini? Usipochukua form mwaka huu basi tena...jaribu bahati yako. Udiwani wa jiji la dar utakufaa keli kwa vile unajua kila corner

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 21, 2010

    Ankal na wewe lini utachukua fomu ama wewe mgombea binafsi kama mimi?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 21, 2010

    Kaka Makala tuna imani kubwa sana na wewe. All the best brother

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 21, 2010

    Wao sio mafisadi!! Nani ni mafisadi then? Mafisadi wakubwa ambao wamekumbatiwa na serikali ni wana ccm tena wajumbe wa NEC1! Zingine Blabla ooh wameandika kwenye ilani? Kuna serikali yeyote ama chama cha siasa chochote duniani wasiojua rushwa ni adui wa haki? Sawa mmeadika lakini hakuna kilichtendwa!
    Wakati wa uchaguzi wataongea kila wanachoweza lakini cha mno hakuna CCM ni yuleyule!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 22, 2010

    Makala hongera kwa hatua hiyo wapiga kura ndio waamuzi.Gyuli lumata. all the best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...