Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2010

    Kaka MISUPU nimekubali kweli wewe ni MZALENDO halisi maana hiyo kofia unawakilisha TANZANIA yetu sio safiii sana kaka.Hongera kwa kujifunza kupika sasa ukirudi nyumbani usisahau kumpikia shemeji.halafu kaka safari zako zooote uko peke yako shemeji yetu ako wapi safari zako zoote huwa hatumuoni acha hizo kaka MISUPU bana!!!
    Mdau-Ukerewe!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2010

    Big up Ankal!!
    Sasa mbona huandiki notes!! Utakuja ku-ferry mtihani wa upishi.
    Hahaha!!!'
    Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2010

    Ankal vipi english is not reachable nini naona una act kama Mr. Bean.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2010

    Anko Lugha Lugha hujampata nini ????? teh-teh-teh?????

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2010

    Ankal hamna kudesa hapo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2010

    Ankal lugha haipo imeenda holiday unaonyesha mikono kama JK.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2010

    Ankal hicho kikofia utadhani Ngariba.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2010

    Huyo minamwona Kama ni mangi mweupe tu. Zengue yore hiyo akawacharge $? Halafu anawapeleka haraka haraka. Chef Issa yuko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...