Brother Michuzi
Nami nakuja na more radical proposal. Idea za mtu wa awali nzuri lakini naona pamoja na kuweka picha hapo juu you dont want au tusema umeogopa ku tackle 500 pound gorila in the room nalo ni hiyo ROUND ABOUT YA ASKARI MONUMENT pale Samora avenue.
Ile picha ya Bismini iondolewe ihamishiwe Mnazi mmoja au kule kwenye viwanja vya Karimjee then pale kwenye round about waweke traffic lights na zebra crossings kama vile walivyofanya Oxford Circus London au Times Square New York.
Pili Kile kituo cha mabasi cha Posta mpya nacho kifungwe na kihamishiwe Posta ya Zamani na kule kwenye water front yaani Kivukoni kukiwa redeveloped vizuri na kutanuliwa yaani kujaza mawe kwa nyuma ili kuweza kuhimi idadi ya abiria then itaondoa foleni iliyokuwa imejaa kati kati ya Central Business District (CBD)
Mtashangaa jinsi foleni itakavyoondoka pale!
MZALENDO
http://www.wazalendoforums.com
Nami nakuja na more radical proposal. Idea za mtu wa awali nzuri lakini naona pamoja na kuweka picha hapo juu you dont want au tusema umeogopa ku tackle 500 pound gorila in the room nalo ni hiyo ROUND ABOUT YA ASKARI MONUMENT pale Samora avenue.
Ile picha ya Bismini iondolewe ihamishiwe Mnazi mmoja au kule kwenye viwanja vya Karimjee then pale kwenye round about waweke traffic lights na zebra crossings kama vile walivyofanya Oxford Circus London au Times Square New York.
Pili Kile kituo cha mabasi cha Posta mpya nacho kifungwe na kihamishiwe Posta ya Zamani na kule kwenye water front yaani Kivukoni kukiwa redeveloped vizuri na kutanuliwa yaani kujaza mawe kwa nyuma ili kuweza kuhimi idadi ya abiria then itaondoa foleni iliyokuwa imejaa kati kati ya Central Business District (CBD)
Mtashangaa jinsi foleni itakavyoondoka pale!
MZALENDO
http://www.wazalendoforums.com




Ni upuuzi kabisa tupoteze historia kwa sababu ya kitu cha kukopi paste, tunawataalamu wanaweza kubadilisha hali kama wakiwa empowered na kujaliwa
ReplyDeleteAnkal hii hoja ifikishe mezani kwa Mh.Lukuvi ili aiunganishe hoja nyingine kwa ajili ya utekelezaji.Mabadiliko ni lazima na hapa hakuna upinzani.Hata pale mnara wa saa paongezwe njia za waenda kwa miguu pale katikati.
ReplyDeleteMZALENDO MAONI YAKO HAYANA MAANA YOYOTE WEWE UNADHANI WAZUNGU HAWAKOSEI? KWA VILE UMEONA OXFORD WAMEFANYA HIVYO UNAFIKIRI NDIYO SAHIHI? JE WAKIBADILISHA NA WAKIWEKA PICHA YA MALIKIA ELIZABETH UTASEMA NA SISI TUWEKE? MZALENDO ACHA KUWA MTUMWA WA WAZUNGU ATA SISI TUMEKAA SANA HUKO ENGLAND LAKINI USHAURI MBOFU MBOFU KAMA ZAKO WALA HATUTHUBUTU...
ReplyDeleteMSONGAMANO MKUBWA WA MAGARI JIJINI DAR ES SALAAM
ReplyDeleteBwana Michuzi,
Nikupongeze wewe pamoja na blog yako.
Nimefuatilia maoni juu ya suala la foleni za jiji letu la Dar es salaam ambazo zimetolewa na baadhi ya wachangiaji wa mada hii.
Binafi, napenda kuwapongeza wale wote waliochangia mitazamo yao katika tatizo hili na jinsi gani linaweza kuondoshwa jijini Dar es salaam.
Wachangiaji wameeleza mambo mengi ambayo ni mazuri na yanafaa ili kuondoa tatizo la msongamano wa magari uliopo ikiwa ni pamoja na kutoa mifano ya miji mingine mikubwa huku nje kama London, Rome na New york.
Mimi nataka nirudi nyuma kidogo kuhusu nchi yetu ya Tanzania.Mji mkubwa wa kibiasha Tanzania ni Dar es salaam na umebaki pia kuwa ni mji wa shughuli zote za uendeshaji wa serikali na siasa.
Hivyo sio tu watu wote watokao maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam wakielekea katikati ya jiji ndio huchangia kuwepo kwa foleni ndefu hapo mjini. Kwa kuwa Dar es salaam ni mji wa kibiashara, uendeshaji wa serikali na shughuli za kisiasa, watu wengine wote watokao mikoa yote ya Tanzania humiminika hapo. Wageni wote wa kiserikali na kisiasa pia huingia hapohapo na wakati mwingine kusababisha ufungwaji au kusimamisha magari kwa muda mrefu kupisha ujio wa wageni mbalimbali wa serikali na hata viongozi wetu wa nchi.
Hili ni tatizo kubwa na litaendelea kutusumbua sana hata kama barabara zitapanuliwa au kuboreshwa zaidi, mipango miji kuboreshwa zaidi au kuweka mkazo juu ya sheria za barabarani.
Suluhisho ambalo ni mbadala pekee na linaweza kuwa la kudumu ni makao makuu ya serikali na shughuli zake kukubalika kuhamishiwa mjini Dodoma kama ambavyo tumekuwa tukisika kwa muda mrefu. Hii itafanya jiji la Dar es salaam libaki kuwa jiji la kibiashara pekee na kuondosha ulazima wa kila mtu kuja mjini hapo na mandhari ya mji wetu itaboreka zaidi.
Justin Jonathan
+447960328344
we kichaa kweli thats a city icon halafu hizo traffic lights ndo zitaondoa foleni? mbona zisiondoe pale Ubungo!
ReplyDeleteUSIRUDI BONGO !!!
ReplyDeletepoleni sana kwa muda mnao tumia kulumbana humu !hila sema kweli bongo ndo bongo hina bidi mzoehe hali halisi mtake msitake !! MIMI BONGO SIRUDI HATA NIKISIKIA YESU KARUDI BONGO .HATARUDI YEYE MI NO .
ReplyDeleteProbably you dont know what you are talking about with regard to roundabout vs traffic signal. I cant blame you much since you're not a traffic engineer, sorry.
ReplyDeleteMzalendo hututakii mema.Unataka kufungua "New Dodoma butcher" katikati ya barabara.
ReplyDeleteMdau una nia nzuri juu ya hili ila hujafanya utafiti wa kutosha. HIyo hapo 'oxford' penyewe foleni kama kawa labda wakati unapiga hiyo picha!! kitakachoondoa foleni mjini ni iwapo tutapata jibu la ''watu wanafuata nini mjini'' na 'tufanye nini ili wasijae mjini' Ukikurupuka kurekebisha miundo mbinu mjini maana yake ni watu zaidi a foleni zaidi mijini. kama unabisha waulize waishio katika majiji yote makubwa duniani!! watakufafanulia juu ya Pick or Rush hrs... sembuse dar!!! Dodoma nako imeshaanza kushika kasi....ehehehee...
ReplyDeleteWEWE MDAU WA KWANZA INAONEKANA UMEDATA...UPUUZI GANI.??? NA HISTORIA GANI ITAKAYOONDOLEWA...JAMAA AMETACKLE POINT MUHIMU...HILO SANAMU LINAWEZA LIKAWEPO HAPO HAPO KWANI UGUMU UKO WAPI..PICHA YA PENDEKEZO IMETULIA NA TENA ITAONDOSHA USMBUFU WA HALI YA JUU..AU UNATAKA ATOKE MFADHILI NDIO MUJUE AMECHANGIA?????MAJANI KWENYE ROUND ABOUT NDOGO KAMA HIII JAMANI...KWELI INAINGIA KILINI...SANAMU LIWEKEWE KWENYE NGUZO YAKUVUTIA.....NA MAMBO YA CAMERA CCTV NDIO ZINAWEKWA NADIO KUJIKOMBOA TENA JAMANI..WAFADHILI SIKU HIZI HAMNAAAAA.
ReplyDeleteyaani we ndo mtumwa wa watumwa yaani kisa oxford wamefanya hv na wewe uige mtu mweusi ni mweusi sasa kukaa kwako uk kumekusaidia au ndo unazidi kuwa mjinga
ReplyDeleteTatiza la foleni Dar litatatuliwa kwa mambo yafuatayo.
ReplyDelete1.Kujenga barbara kubwa mfano wa nusu Duwara nje ya jiji ambayo itawezesha magariyatokayo mkoani kufika kwenye wilaya zote bila ya kufika mjini.Barabara hii itaweza pia kufanikisha magari yaendayo Bagamoyo,Lindi na Mtwara kutoleta msongamano mjini.
2.Kuanzisha bandari kavu ,yaani mizigo ya bandarini iwe inasafirishwa na treni na kuchukuliwa na magari kwenye hiyo bandari nje ya Kibaha.
3 Kuanzisha usafiri wa treni.Wilaya ya ilala ni rahisi ila Kinondoni na Temeke kuna sehemu ambazo treni inaweza kupita juu kama ilivyokuwa kwa jiji la Berlin Germany :)Kufanikisha hili tunaweza kushirikisha makampuni makubwa kama vile Metro n.k alafu Wazawa wakahusishwa kwenye kununuwa Hisa.Baada ya hapo magari yaingiayo mjini bila ya shughuli maalumu basi yalipishwe.
Hat nchi zilizoendelea zimepitia hatua ambayo nchi yetu ipo sasa.
Tanzania ipo mahala pazuri kweli kama tutashirikiana kuendeleza kwa pamoja bila kujali mtu yupo wapi.
Nyumbani nyumbani tu Hata kama kichakani.
Kuna nchi kibao Ulay ,Asia ,na Amerika ambazo zina hali mbaya kuliko hata Tanzania.
Tembelea Ulaya ya mashariki mwenyewe uone .
Mimi nitajitolea kutengeneza sample ya hivyo vitu nilivyoandika kama jiji watahitaji.Naamini nchi nyingi zitajitolea kusaidia wakiona huo mfano.
Kaka Michuzi na wengine mliochangia
ReplyDeleteNashkuru kwa michango yenu iliyosheheni elimu lakini nami ningependa kuwajibu wanaopinga kuondolewa ile sanamu pale yafauatayo:
Hakuna lisilopingika kuwa Sanamu ile ni sehemu ya historia yetu na kwa sababu hiyo kuna attachment ya kuwa kuna watu wamezaliwa wameiona pale lakini pia tusisahau kuwa mji wetu umebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Lakini pamoja na mabadiliko ndio maana bado kuna mambo bado tumebaki nayo kama vile majina ya mitaa kama vile mtaa wa Masadi,Likoma, Muhonda, Muheza na Magila just to name a few. Hapa nazungumzia jiji ambalo liko tayari KUVUNJA SOKO LA KARIAKOO ili wajenge apartments bila kufanya consultation na wananchi!
Kama tunazungumzia preservation ya historia ya mji huu mbona watu hawakusema kitu kuhusu kiwanda cha magazeti cha kwanza kuchapishwa na Mwaafrika hapa Tanzania Bwana MASHADO PLANTAN pale Mission Quater na gazeti (ZUHURA) ambalo Mw Nyerere na wenzie ndani ya TANU walilitumia sana. Sasa kama kweli tuko serious ku preserve historia yetu na ya mji huu then tusiwe watu wa kupick and chose bali inabidi tuwe rational na hoja zetu. Mmejiuliza ilikuwaje jiji waliondoa zile reli zilizokuwa zimezunguka huku pembezoni ambako wananchi wanapita kwa miguu? hoja nakumbuka tuliambiwa kuwa yalikuwa hatari na yanaongeza idadi ya msongamano wa watu!
Sasa kurudi kwenye hili la round about kuna mambo mengi ambayo itabidi yazingatiwe kabla ya kuondoa na kuwapa priority wapita njia kwa miguu wa jiji hili.
Nilipotoa hoja kuwa tutumie mfano waOxford Circus sikuwa na nia iwe exclusively bali nilifikiri inabidi tuzingatie mambo kadhaa wa kadhaa kabla hatua hiyo haijachukuliwa na hili ni pamoja na kufanya consultation na watu wa ilala ili kulipati ufumbuzi suala hili
Kwa kifupi si London peke yake wana dizaini hiii ya crossing bali ni miji mikubwa mingi tuu duniani kama vile Shibuya Crossing Tokyo, Auckland, New York na kwingineko. Dizaini hii ya crossing inasemekana ilianzishwa na traffic engineer wa kule California kwenye miaka ya 50 kwa jina la arned na ndio maana crossing yenyewe baadae ikajaitwa Barnes Dance kwani watu wakifika kati kati wakati wana pishana wanakuwa kama vile wanacheza ili mmoja ampishe mwenzie
mzalendo
NI UPUUZI MKUBWA NA MTUPU TU UNAOTUELEZA HAPA, NA WALA HUJUWI KWA NINI OXFORD CIRCUS WALIWEKA HIYO KITU, KWA TAARIFA YAKO HAWAKUWEKA HIYO ETI KWA SABABU YA FOLENI WALIWEKA HIYO KWA SABABU YA WATU KUVUKA KWA WINGI KWA WAKATI MMOJA TOKA UPANDE MMOJA WA BARABARA KWENDA MWINGINE UKIZINGIKATIA KUWA HAPA NI CENTRE YA LONDON NA KUNA WATU WENGI HUFANYA SHOPPING HAPO. NA AFTER ALL UNAONEKANA HAUPO AU HUENDI NA WAKATI KWA SASA HIYO KITU HAIPO HAPO KWA VILE ENEO LOTE HILO KUNA MATENGENEZO MAKUBWA YA BARABARA NA UNDERGROUND STATION/TUBE/TRAIN YA CHINI.
ReplyDeleteKwa utaratibu huu wa foleni labda waanza kuwatoza watu wanaoenda mjini (Congestion Pricing).
ReplyDeleteKwa hiyo ukitoa huo mnara ndio utaondoa foleni mpaka ubungo?
ReplyDeletesidhani kama kuna tatizo na new ideas
ReplyDeleteafterall waliofanya City Planning miaka hiyo inaonekana hawakujua kuwa kadri muda unavyozidi kwenda tutaongezeka hapa mjini na kipato pia kitakuwa kikubwa hivyo watu watanunua magani na congestion itaongezeka
Infact namuunga mkono aliyetoa wazo la kuondoa na ile Askari Munument. At the end of the day hakuna aliyesema hilo sanamu litupwe ila mawazo ni kuwa ihamishiwe sehemu nyngine kama vile kule Karimjee au maeneo ya Mnazi Mmoja