Home
Unlabelled
ankal atua sauzi kula vekesheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ankal watu wanarudi ndio wewe unaenda.
ReplyDeleteAnkal !kwanza tukupigia saluti!
ReplyDeletena kukutakia vekesheni njema,
lakini Ankal tena Chonde chonde !Ankal,hiyo fulanaz!!!ya blog ya jamii piga ua hakikisha unarudi nayo bongo,maana wadau walio kuzunguka wasijaribu kabisa kufika bei! vinginevyo tutakuja kumvua mtu mitaani.
Tunakutakia vakasheni njema.
wadau
FFU UGhaibuni
Ankal hii usiitupe kapuni. Natarajia kuwepo s africa kikazi mwishoni mwa mwezi wa november mwaka huu hadi march 2011. Nitakuwepo kazini katika ofisi za IBM mjini johannesburg na tutakuwepo pia WITS kwa wiki mbili.
ReplyDeleteNingelipenda kujua kama kuna jumuia ya watanzania hapo j'berg na pia ni sehemu gani hasa walipo watanzania.
ahsanteni
Taymour
mr_taymour@hotmail.co.uk
Najuta kukataa kazi ya usalama wa taifa. Yaani na mimi kumbe ningekuwa nakwenda vekesheni kibao - tena bila kuambatana na mai waifu wangu hata siku moja. Mbona raha hii jamani???
ReplyDeleteWeee ankal ni mshamba kweli kweli yaani unasubiri mpaka kombe la dunia limemalizika wewe ndo unatua South!!! Si ungeenda hata wakati wa fainali ushuhudie hata mechi moja!! LOL wewe kweli mshamba!
ReplyDeleteEnjoy your vacation then!
Anko Mishuzi unaliona ilo daraja kwenye hii picha eeh? Ukirudi bongo wapelekee picha hii jamaa wa wizara ya ujenzi sijui wizara ya miundombino (utajiju). Waambie hii ndio solution ya foleni za pale ubungo mataa ama magomeni. Wanapaswa kuchimba kidogo tu kwa chini halafu wakapitisha barabara nyingine kwa juu. Matokeo yake hawatahitaji kuweka taa barabarani na magari yatakua yanatembea bila ya kusubiri taa. Simple eeh?
ReplyDelete