ankal akiwa na mdau frank mtao baada ya kutua
uwanja wa OR Tambo jijini Johannesburg leo kula vekesheni
ankal akiwa na wadau ambao wanasaka nondozzz hapa sauzi

ankal na wadau wanaosak nondozzz sauzi
vuguvugu la kombe la dunia bado lipo kila pembe hapa sauzi




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2010

    ankal watu wanarudi ndio wewe unaenda.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2010

    Ankal !kwanza tukupigia saluti!
    na kukutakia vekesheni njema,
    lakini Ankal tena Chonde chonde !Ankal,hiyo fulanaz!!!ya blog ya jamii piga ua hakikisha unarudi nayo bongo,maana wadau walio kuzunguka wasijaribu kabisa kufika bei! vinginevyo tutakuja kumvua mtu mitaani.
    Tunakutakia vakasheni njema.
    wadau
    FFU UGhaibuni

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2010

    Ankal hii usiitupe kapuni. Natarajia kuwepo s africa kikazi mwishoni mwa mwezi wa november mwaka huu hadi march 2011. Nitakuwepo kazini katika ofisi za IBM mjini johannesburg na tutakuwepo pia WITS kwa wiki mbili.

    Ningelipenda kujua kama kuna jumuia ya watanzania hapo j'berg na pia ni sehemu gani hasa walipo watanzania.

    ahsanteni
    Taymour
    mr_taymour@hotmail.co.uk

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2010

    Najuta kukataa kazi ya usalama wa taifa. Yaani na mimi kumbe ningekuwa nakwenda vekesheni kibao - tena bila kuambatana na mai waifu wangu hata siku moja. Mbona raha hii jamani???

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2010

    Weee ankal ni mshamba kweli kweli yaani unasubiri mpaka kombe la dunia limemalizika wewe ndo unatua South!!! Si ungeenda hata wakati wa fainali ushuhudie hata mechi moja!! LOL wewe kweli mshamba!
    Enjoy your vacation then!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2010

    Anko Mishuzi unaliona ilo daraja kwenye hii picha eeh? Ukirudi bongo wapelekee picha hii jamaa wa wizara ya ujenzi sijui wizara ya miundombino (utajiju). Waambie hii ndio solution ya foleni za pale ubungo mataa ama magomeni. Wanapaswa kuchimba kidogo tu kwa chini halafu wakapitisha barabara nyingine kwa juu. Matokeo yake hawatahitaji kuweka taa barabarani na magari yatakua yanatembea bila ya kusubiri taa. Simple eeh?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...