Babu Njenje (wa tatu shoto) akiwa na wananjenje wengine na mdau wa Sofi Productions pamoja na ankal wakiwa kwenye mnusi alioandaa kusherehekea hepi besdei ya mwanae Feisal aliyeko Marekani. Babu Njenje anasema siku hii ni ya furaha kwake kwani anampenda sana mwanae na kamtakia maisha mema yenye mafanikio na bila mikwaruzo huko aliko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2010

    hivi hivyo vidole viwili maana yake nini? kitime na michuzi umri bado unaruhusu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2010

    Ni milestone gani inasherekewa hivyo au kwa vile kaenda marekani mwaka huu ndio basi imekua taaabu.. Toka lini tunatangaziwa hii besidei na kijana mwenyewe ni mtu mzima sasa sijui he is turning 20, 21, 25, 30 or 40 yrs old?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2010

    Yaani kijana yupo marekani afanyiwe party bongo! yeye mwenyewe ameshiriki vipi sasa. lakini ni mapenzi ya mzazi! He must be doing very good in America then.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2010

    Kumbe mzee nanihiii ni chadema???

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2010

    Alama hiyo ni alama ya amani kwa watu wa zamani, na kuna tatizo gani baba mtu kusherehekea birthday ya mwanae?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2010

    Halooo halloo ya njenje jamani njenje kiboko.twamtakia afya njema mafanikio mema mtoto WA Babu njenje. Ankal piga pande wadau WA USA wamlete njenje.umecharaza kiboko ankal suti hiyooo.wiki hiii mhh full kuurambia au hujagusa camera.

    Ybinty

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2010

    Hii sherehe siyo Birthday kama tunavyoambiwa yawezekana huyu Feisal Njenje amepata Makaratasi ya kwenda Tanzania ndo maana familia inafurahia. Make yule Mnugu alimtesa sana huyu kijana. Kwa hiyo familia ina haki ya kusherekea endapo kama kijana wao amepata Paper ama Ganda la Kijani.

    Mdau D.C-USA

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 05, 2010

    Pongezi Feisal. Na ahsante Babu njenje kwa kutupa burudani ya muziki wa hali ya juu kwa miaka 37!!! Tunamwomba Mwenyezi Mungu Muumba na Mlinzi awape nyinyi wote na Muhidin Issa Michuzi na familia zenu afya nzuri na furaha. Amin. Na tunamwomba Muumba awatoe chuki wale haters wote waliomwaga matapishi yao hapo juu na awaongoze kwenye mwanga wa mapenzi. Amin. God bless. Amin. David Solomon. (UK)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...