ankal akiwa na Chacha Maginga wa TBC 1 (shoto) Bonny Luv, DJ Mackay na DJ Venture Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo. Ankal ambaye hajafika siku nyingi kiasi kiota hiki cha maraha kinachowasha moto pale Kijitinyama Millenium Towers kila Jumamosi alibroo kukuta pamefurika wadau kibao toka kila pembe ya jiji na kwingineko. Wadau wanasema 'shimo la Mzalendo pub' limetapika. Yaani we acha tu. Ma Old Skul na madude ya Naija na kombe la dunia kama kawa. Pitia siku moja ujionee mwenyewe.
Ankal akutana pia na wadau damu wa Bwawa la Maini ambao wanasema baada ya kupatikana kwa kocha mpya basi vuvuzela mpaka lyamba ligi kuu ya Uingereza ikianza. Watani wa jadi kaeno chonjo. msimu huu twaja....


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2010

    mzee wa konoz naona unaibeba liver ha haa haina shaka kama wewe umekubali basi lazima patakuwa pamekaa vizuri maana mi ni mdau mmoja wapo na huwa napenda sana waakina dada wanapozungusha mduara haaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2010

    kuna mkaka mmoja ilikua anaitwa bonny lov miaka ya tisini alisomea kagera nyakato sec school o.level ndio huyo DJ?swali kutoka kwa mdau wa mbali.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2010

    huyu bonny lov alisoma kagera?Nyakato sec school 0.level miaka ya tisini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...